Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wale wenzetu wa mtaa wa pili hali c shwali jaman, tujtaid kuwatia Moyo maana yale matumain yao ya kupona lile gonjwa lao la Mende kujaa kwny kabat limekosa tiba..
Duh!hii kauli ya misfortune never come single inawahusu sana nyumba ya jiraniiiii.
 
Mkuu Belo umesahau jambo moja na Van Gaal anastahili kuendelea na kazi aliyoianza.
LVG kama angekuwa flexible kukubali kukubadilika angefanikiwa sana naelewa ndio maana huko kwingine alifanikiwa but kwenye EPL lazima abadilike,Idea yake ya kuwapa nafasi chipukizi ndio inawafanya kina Woodward wanashindwa kumfukuza kazi kingine pamoja na kutofanya vizuri still kwenye mapato klabu inafanya vizuri sana
 
Basi bora amekuwa na akili sasa kaacha usharobaro. Narudisha mapenzi na nitamuombea awe anatupiamo.
Rashford haka kaserengeti boy chetu nakaombea kafanye vyema kasilewe sifa.
Jamani mata huwa anatukomboa sana. Alistahili ile tuzo.
Wameshashindwa hao RM walituibia Ronaldo bado wakawa wanammendea na DDG.
Mamy mbona hujamsifia shem?
 
Waungwana sio mtu akurupuke humu aende kutoa pole ya msiba mgonjwa anaendelea uzuri so kama mtu anaweza kupita huko na juice itapendeza.
 
Line-ups

West Brom
1Foster
25Dawson
23McAuley
3Olsson
4Chester
29Sessegnon
5Yacob
24Fletcher
8Gardner
33Rondón
18Berahino


Substitutes

10Anichebe
13Myhill
14McClean
15Pocognoli
17Lambert
20Pritchard
30Sandro


Man Utd
1de Gea
36Darmian
12Smalling
17Blind
5Rojo
21Herrera
16Carrick
35Lingard
8Mata
9Martial
39Rashford

Substitutes
7Depay
20Romero
27Fellaini
28Schneiderlin
30Varela
47Weir
51Fosu-Mensah

Referee:
Mike Dean

#GGMU
 
No excuse na kadi nyekundu sababu MAJOGOO show you the way already!

Dakika ya 30 kijana wetu Rashford hajagusa mpira hata mara moja ehehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…