Watford walikuwa wanacheza hadi siamini hii ni Watford au timu gani?! Ila timu kubwa ndio huwa inaonekana kwenye mechi kama hizi. Ni sawa na game ya chelsea vs norwich

Wewe unatakiwa ushukuru tumewafunga hao jamaa, wangetufunga saa hizi ungekuwa usharudi namba 13! Ngoja Everton washinde kiporo chao mrudi nafasi yenu kule ukurasa wa pili na nusu!

hii gem ilinikuta sehemu fulani hivi amazing hahaha nakula utoto. nimeangalia wee nikaona hawafungani. ile nanyanyuka nikalale kitu hicho wavuni usingizi ukakata.