Hahhahahha LVG out.......aiseeee acha kabisa I thank God maana Leo watu walikuwa wamechimba kaburi kutufukia hatimaye wamezikwa wao......siyo huyo tu kuna
kashengo kuna
rubaman kuna
McDonald Jr naomba uwapelekee salaam zangu za Rambirambi waambie OT tuko pamoja nao katika msiba huu mzito....... Season closed see you next season Arsenal we love youuuuuuuuuu........