too far gone to care!
Ukitulia google "rashford" hawa madogo hatari sana hawa!!Baada ya kukosa penati niliamua kuondoka kibanda umiza na kurudi nyumbani.....nitachungulia matokeo tu, timu ya LVG ni mbovu kuliko ya D MOYES
nimeangalia updates kafunga mawili!!Ukitulia google "rashford" hawa madogo hatari sana hawa!!
Dogo wa academy, hana hata page WikipediaUkitulia google "rashford" hawa madogo hatari sana hawa!!
Memphis tangu mwanzo alikuwa anawapelekesha atakavyo...Memphis is on fire
Dogo kaibeba sana timu leo,Memphis tangu mwanzo alikuwa anawapelekesha atakavyo...
Dogo leo kacheza vizuri...amekua muhimili wetu leo!!!Memphis is on fire