Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwiiiii kwiiiii hawa Majita Land sio mchezo naona umu ndani kama hakuna wenyeji,misiba imekua kawaida yenu mpaka majirani tumewachoka kila siku mnafiwa nyie tu aaaaagghrrr
 
JE wajua

Man imefungwa na timu ya watawa wa mishen denmark ya mwaka 99 iliyoanzishwa na padri anjero..

Amefanya kazi za utawa hata tanzania....
 
Mkifanya utani nawahakikishia mtapishana na Mentor akiwa anapanda na nyinyi nyumbu mnashuka huu utumbo mtauleta kwenye ligi duh leo nalala unono.
 
Man united ni lijipu kubwa limeshaiva tayari linauma linahitaji kutumbuliwa bila ganzi
 
ila sio issue sana Arsenal tarehe 28 itakuja kumuondoa kabisa LVG

Kipigo pale OT itakuwa Last nail in the Coffin To LVG

msijali sana hii kazi tutawasaidia kuimaliza
Alafu nahisi kitakuwa kipigo cha kikatili sana hakijawahi tokea pale Theatre of dreams.
 
Endeleni kuota
Mna back to back defeats against Arsenal So far Katika games 3 zilizopita

EPL 1-1 OT

FA Cup 2-1 OT

EPL 3-0 Emirates



Na kwa trend ya form yenu na Majeruhi mliowapata Iikelyhood ya Kichapo ni kubwa sana.....

na Toka kaja LVG mkicheza na Arsenal mnakuwa second best.....sio kama zamani mlivyokuwa mnawachezea Physical na quick Counter Attacks mambo yamebadirika

I can sense another Defeat to Manure My friend let wait and see

Ila itaweza kuwasiadia sana kumfukuza huyu mhaini wa Kidutch aende kwao Amsterdam
 
Kinachoniuma sana ni ushindi mnaokwenda kumpa Arsenal....!!!


Majipu ambayo yameshaiva ila Magufuli - kwa sababu tusizozielewa - amegoma kuyatumbua ni haya yafuatayo;

1. TANESCO na IPTL

2. TCRA na wizi wa makampuni ya simu

3. POLISI

4. MAN UTD na Van Gaal.
 
Kwa trend ya hizi team (Arsenal,United ) kwa sasa sioni possibility ya United kufungwa na Arsenal kushinda.
Inaonekana Woodward hana ubavu wa kumfukuza LVG otherwise angekuwa kumfukuza tangu December
 
LVG haendi popote, baada ya msimu huu ataongezewa miaka 3 mingine aendelee kuletea revolution.
 
Kwa trend ya hizi team (Arsenal,United ) kwa sasa sioni possibility ya United kufungwa na Arsenal kushinda.
Inaonekana Woodward hana ubavu wa kumfukuza LVG otherwise angekuwa kumfukuza tangu December
Unazungumzia trend ipi?

Arsenal trend yake ni sawa na Manure? come on be seriuos

we are seriuos tittle contenders and you are a mid table club now fighting for a at least a top 4 spot

Mzee hii game ijayo mjiangalie....

beki wenu LOVE akabane na Alexis? Timu yako haina Hata sub wote wagonjwa, Poor form

jiandae kisaikolojia na jipejipe moyo
 
we are seriuos tittle contenders and you are a mid table club now fighting for a at least a top 4 spot
Hivi kumbe nafasi ya 5 kwenye ligi yenye timu 20 ni mid table? Mh! Hii ni namna ya hisabati mpya?!?
Kwa upande mwingine, epukeeni 'boosters' muwe na akiba ya maneno jamani..
 
Hivi kumbe nafasi ya 5 kwenye ligi yenye timu 20 ni mid table? Mh! Hii ni namna ya hisabati mpya?!?
Kwa upande mwingine, epukeeni 'boosters' muwe na akiba ya maneno jamani..
hahaha habari za siku mdudu Nzi

kwema kaka?
 
Angalia results/performance za Arsenal na United tangu mwaka uanze,
Its clear Man United inastruggle but unaongea like Arsenal atashinda 7-0
,Je Arsenal wako on fire? Na unasahau pia next week una game na Barca

Arsenal miaka yote ni serious contender tofauti iliyopo ni kuwa wale contenders wenzake wamechoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…