Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1-1......huyu LVG asipofukuzwa soon sijui tutamaliza wa ngapi?!
Kweli yani nahisi wanataka ifike hali tuwe tukishangilia pale tuu itakapofikia ukiiona scoreline baada ya mpira kwisha..!!
 
Manchester United Injured Starting XI
 

Attachments

  • 1455822439541.jpg
    23.8 KB · Views: 15
Kwa mara ya kwanza naona LvG anafanya sub yenye kueleweka. Leo Herrera alikuwa anazingua sana.
 
Hivi mpka tupoteze mwelekeo kabisa ndipo patatokea mabadiliko yoyote katika hii timu?? Sioni vile tunatoboa leo
 
Watoto wa kiafrica naona wanashine Denmark huko, sijui wametolewa wapi hawa. Sisi wetu wameng'ang'ania Chamazi Tu yaani hatuna hats mmoja kwenye Europa League.
 
Ed Woodward mtimue huyo LVG hii timu ilishamshinda
 
Hii sasa dharau
Mansheeder Ubwegeted tunafungwa hadi na watunza mifugo
 
poleni manure, yaani mpaka kombe la FUTUHI mnafungwa.
 
haka katimu hajashinda mechi 10 zilizopita yaani ndio kafufukia kwetu....gunduuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…