McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Hahahahahaha naona umekosa hoja umeanza kukosoa uandishi hahahahahahhMkuu unajifunza kutype??
Lipo grup ila moja ya rules zake ni strictly english.Wanangu naomba mwenye group la Manchester United wasap aniunge
0686037874 join me mkuuLipo grup ila moja ya rules zake ni strictly english.
Oky ngoja niwape namba yako.0686037874 join me mkuu
Hehehehhe aisee umenichekesha sana mkuuBiggest rivalries in football
• Messi and Ronaldo
• Liverpool and Manchester United
• Real Madrid and Barcelona
* Man United fans and Louis Van Gaal
Ndio reality kwasasa hiyo mkuu.Hehehehhe aisee umenichekesha sana mkuu
Nqkubaliana na ww mkuu almost 100%Ndio reality kwasasa hiyo mkuu.
Naziona dalili za LvG kutimka kabla hajatimuliwa.Nqkubaliana na ww mkuu almost 100%
Naziona dalili za LvG kutimka kabla hajatimuliwa.
Kuna misiba miwili so marehemu watazikwa pamoja, kesho tutasafirisha msiba mpka Emirates na Huko ndo mazishi yatafanyika na tutakuwa na tanga Ndugu ya siku tatu.Wafiwa tunaomba ratiba ya mazishi basi na kama tunasafirisha au tunazika hapahapa semeni mapema naona mnalia tu na muda unaenda,majonzi ya nini wakati marehemu kaugua kwa muda mrefu.
Picha imeji-upload tuView attachment 323036
Yaani weekend yote imekuwa vururu vururu.....,LVG kajua kunilaza mapema.
Our season is over, tujaribu msimu ujaoNakusoma vyema mkuu
Hapo hatujaongelea kizazibalichozalisha akiwa porto
Allbwe need is mourinho then thebrest itafuata
Angalia kwa mfanongame ya leo hata sunderland inatusumbya hv?elovijii kaiturn man u kua timu ya kawaida sana