Nakusoma vyema mkuuMkuu José is what we need right now, kuna watu may be wanakua na chuki binafsi tu na mou, watu wanalalamika kuhusu young player lakini wamesahau varane alipewa namba mbele ya pepe, kuna morata, zouma na hata ballotel waliweza kupangwa na kuaminiwa,
Hakuna world class coach ambae anaweza kuturudisha kwenye kushinda mataji kwa sasa zaidi ya José na ni ambae yupo available, pia huwezi kum-crtisize kocha kwa kutowapa nafasi vijana endapo hao vijana wenyewe hawaoneshi nia ya kutaka mafanikio na kutoka, kwa mfano jaribu kuangalia ni vijana gani waliokua hawapewi nafasi na mou na wakatafuta mbinu mbadala ya kutoka?
Angalia mfano wakina pique, pogba na Drinkwater walikosa nafasi utd lakini walikoenda wametuprove wrong, na nitegemezi huko so haiitaji kocha pekee kukutoa juhudi yako pia inahusika,
Miezi michache aliyoharibu José kisiwe kigezo cha kumfanya kama ni hopeless, kumbuka kila timu aliyofundisha hajawahi kumaliza out of top three kwa miaka zaidi ya 15 ( kama nitakua sawa) Leo hii kuharibu nusu msimu akiwa na Chelsea anaonekana sio kitu, lakini kloop alimaliza ligi wa saba akiwa na BvB ndio anaonekana mchawi wa mpira,
Hizi chuki za uchelsea na umanchester zitatuletea kiungulia, kwangu Mimi José ndio kocha pekee atakaeifanya Manchester irudi kwenye umanchester wake.
Naunga mkono kwa gigs kua permanent na long term plan but now nowMpaka sasa nashindwa kuwaelewa wanaosema Giggs apewe timu. Sijajua mmeona nn kwa Giggs ktk hichi kipindi ambacho amekuwa kama kocha msaidizi ambacho sisi wengine hatukioni.
Gary Neville alikuwa anapiga kelele sana wakati akiwa mchambuzi,aliwaponda sana makocha hasa LvG huku akiwaelekeza jinsi ya kufanya,now tizama kinachomtokea.
Hapa hatujengi uchumi wa nchi,tunatengeneza timu,tunahitaji mafanikio ndani ya muda mfupi. Ukiacha Mourinho,sijaona kocha mwingine kwasasa anayeweza kutusaidia United.
Naunga mkono kwa gigs kua permanent na long term plan but now now
Now we need someone wa kuturudisha where we belong n thats mourinho
Kosa la kwanza tulilofanya ni kutomuandaa gigs as madrid did for zidane o wht barca did to pep au enrique
Zidane alipewa timu b kwa miaka kadhaa tayari kaiva
Pep alikua barca b kwa muda msaidiz wake akiwa enrique after that pep kapewa timu wakat enrique kaenda roma then celta vigo kuongeza ujuzu but thats not what we have invested to gigs kakaa tu kama 2nd man for misimu kadhaa thats not enuf japo he can do the job but itakua gamble
asante sana ngoja nikajinywee zangu zanzi kutoa mawazoWazee wa M.UNITED naona leo mmechezea kichapo .poleni sana
Kwa hiyo Leicester nayo msimu huu imenunua marefaAcheni kulialia man u ni team mbov tokea hapo awali ilikuwa ikibebwa ni refarees sasa heshima ya fargason imeondoka ngoja tuone huo uwezo wenu., manjipa moyo kw gigs., Man tayari ilishatiwa kaburin tokea mumewatoa wachezaj akina van parsie, evra, rafael etc. wyn rooney alipaswa kuondoka na fargason lakushangaza bado muna mtukuza for nothing, kikombe oldtrafrd sasa ni ndoto nafs yenu kwa sasa ni europa inabid muipiganie.
Acheni kulialia man u ni team mbov tokea hapo awali ilikuwa ikibebwa ni refarees sasa heshima ya fargason imeondoka ngoja tuone huo uwezo wenu., manjipa moyo kw gigs., Man tayari ilishatiwa kaburin tokea mumewatoa wachezaj akina van parsie, evra, rafael etc. wyn rooney alipaswa kuondoka na fargason lakushangaza bado muna mtukuza for nothing, kikombe oldtrafrd sasa ni ndoto nafs yenu kwa sasa ni europa inabid muipiganie.
Back to the ordinary, baada ya 3 impressive games, hopes were raised ila dah! Ilikuwa chance ya kuwakamata angalau kwa kuwasogelea wanaocheza kesho.
Hakuna Fellaini katika Midfield nadhani mnaona hali ilivyoikuwa