Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ngumi hapa Rafael na Skettle ... ..... .... 49 minutes ....
 
Mbu naona umekuja mkuu karibu sana mkuu.....
 
Bora vijana wakapumzike hasira zikwishe, manake ubabe 80%! MPIRA 20%.
 
Rafael yellow ..... ........ laponea chupu chupu .... ...... .....50 minutes ..... ....... halftime now ...... .... haya nitarudi baada ya break .... pilisi wapo kwenye touch line chacha khe khe kheeeeee hii yote Manure wasishindwe wameanza vimbwanga khe khe kheeeeeeeeeeeee
 
Mpira wa leo sio mzuri kwetu,naamini tutapoteza tu na tukubali matokeo
 
...ha ha ha, ....na mpira wenyewe ushageuka uwanja wa masumbwi!


Si ndiyo walivyo hao manure! wakishapigwa tundu basi wanaanzisha ubabe maana mara nyingi wanajua fika Waamuzi watawabeba.
 
Hawa wetu, goli lao na ndondokela tu, 2nd half tukitulia, tunawachapa.
 
Wacha uongo mkuu hadi mnfungwa goli mbili ilikuwa ni soka chacha baada ya nyie kuzidiwa nguvu ndio frastration hizo mnaanza fujo ... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Karibu sana mkuu.....usipotee baada ya break
 
hard to defend the performance...maisha yangu yote ya kusupport man utd sijawahi kuona timu ikicheza with such a slow tempo and no sense of urgency.

We can be optimistic lakini game ndio imeisha, i dont see us coming out of this shambolic display unless something miraculous happen which i highly doubt.

Carragher should have been off for that atrocious foul, and nani's reaction ilikuwa disgraceful. Ngoja nirudi zangu kulala sasa.
 
<p>
Si ndiyo walivyo hao manure! wakishapigwa tundu basi wanaanzisha ubabe maana mara nyingi wanajua fika Waamuzi watawabeba.
</p>
<p>&nbsp;</p>

Kwa viatu wanavyotuchapa kaka ubabe apa lazima, apa na wait red card tu. Umeona kiatu alichopigwa Rafa kabla ya kulipiza?, au kile cha Nani?! 'DIRECT RED PALE!

Second half tucheze mpira, ikifika ad dk 80 bako kimy tuanze mpira wa kibabe na sisi.
 
Hawa wetu, goli lao na ndondokela tu, 2nd half tukitulia, tunawachapa.

Mkuu wachezaji wetu wameshaanza kupanic ndio maana,ila na NANI na yeye yupo out na hapo ni kubadili namna ya kucheza tu maana liverpool naona kama wameweka watano so kubomoa defence kazi ipo kidogo......
 
Hahahahahahahahahah Ms Whining Fergie atachonga ooohh decisions are against Manure Utd

I love EPL.
 


Mkuu ushabiki umekushinda Loser fools wameingia na gia nyingine leo wamewapania from the word go ... .... .... ... Jitahidini mtoe draw kama Gunners jana khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chacha njomba leo utachekea c h o o n i
 
Hahahaha!
NANI analia!, ila kile kiatu kilikuwa balaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…