Asanteeeeeee ulibaki mwenyewe kukubali hiliiiiiTatizo lake moja tu: yupo too rigid. #ManUnited is used to dynamic football, win or lose, that's how the team plays. Sasa huyu bwana anawafanya wachezaji wawe kama watoto wanaojifunza soka; yaani wa-stick kwenye positions zao tu mwanzo mwisho.
Ndiyo ilikuwa vigumu kuwazuia United kukufunga; kwani hawakuwa predictable kama ilivyo sasa. Dynamic playing style inafanya timu pinzani isifahamu mbinu gani itumie kujilinda.
Inauma, lakini maamuzi magumu sasa ni muda muafaka.
#Let'sdothisUnited
Mimi leo mgeni wako niandalie vinywaji vya kutoshaaa.....Ndugu zangu huu msiba tunazika hapa hapa nyumbani au marehemu tunamsafirisha kwa mumewe,mimba ya goli 1 mbaya sana kwiiii kwiiiii duh chizi karogwa tena.
Hahahhhahahha jana nilikuwa na kazi moja tu nimepanda kabisa kny kurasa zote za Man U hadi e-mail nimeandika barua nzito kama ya yule shabiki wenu aliyeandika kipindi kile cha Brendan,nimechamba mzaramo nyumaaaa na yai langu bovu la kiTz hivyo hivyo watapata message.Na unadunda kweli hadi ukamkuta Austin teeehe teeehe ukimuona everlenk na ndugu yangu @cuteb wape pole
Asanteeee yaani mi leo niko kama simba dume yoyote halal yangu nitakutembelea baadaye.....
Nipo niende wapi miye na Man U ndo mume wangu wa kufa na kuzikana ila nina mchepuko mmoja Barca alinifuta machozi kiaina......leo mi mgeni wako usinikimbie tu....Kumbe upo....tehe tehe
Nitakubaliana na maamuzi ya bodi ya timuKwahiyo unakubali awe out au???
Everlenk pole dadangu, huyu lvg anadhan watu km nyie mna mioyo ya chumaAsanteeee yaani mi leo niko kama simba dume yoyote halal yangu nitakutembelea baadaye.....
Asante sana kakangu,Aiseee acha tu ndo nakumbuka nanyi kipindi kile cha BR mlivyosota.Everlenk pole dadangu, huyu lvg anadhan watu km nyie mna mioyo ya chuma
Ai wewe Nzi ina maana wakimuacha na wewe utakubali ??. ......ahhhaaa umoja ni nguvu bana tukipaza sauti zetu bodi watasikia....Nitakubaliana na maamuzi ya bodi ya timu
Yaani siku hizi mnaangalia game kwa kuvizia.everlenkmnaangalia167386 said:Nipo niende wapi miye na Man U ndo mume wangu wa kufa na kuzikana ila nina mchepuko mmoja Barca alinifuta machozi kiaina......leo mi mgeni wako usinikimbie tu....
Mi ni Wa darajan yaan naona position ya 14 hatutoki imekuwa km tarhe ya kuzaliwa.Asante sana kakangu,Aiseee acha tu ndo nakumbuka nanyi kipindi kile cha BR mlivyosota.
Bodi ndiyo inajua zaidi yetu sisi washabiki. Na inafanya maamuzi yake kwa kuzingatia ushauri na mapendekezo ya wataalamu.Ai wewe Nzi ina maana wakimuacha na wewe utakubali ??. ......ahhhaaa umoja ni nguvu bana tukipaza sauti zetu bodi watasikia....
Leo namnyonga Arsenal vibayaMbona umepagawa mapema hivi
Asanteeee yaani mi leo niko kama simba dume yoyote halal yangu nitakutembelea baadaye.....
Sina maneno mengi. Nawait hiyo saa mojaLeo namnyonga Arsenal vibaya
Aiseeeee best angu nimevurugwa sana mpka nimekusahau......Ila na wewe umepotea mnoooo!!!! Habari za siku mingiMi ni Wa darajan yaan naona position ya 14 hatutoki imekuwa km tarhe ya kuzaliwa.
Hahahahaha ulivyoniwahi aiseee mpka pozi limeisha haya nitakuwa upande wako.....Ila usiweke kigodoro mbona mi sijaweka......