Katufanya tusiitizame kwa aman mech ya arsenal dhidi ya Chelsea leo, van gaal jinga sana
Leo hamuondoki na point tatu mkuunaomba tukaiangalie tu ile mechi ya chelsea kwa amani maana kama umeshindwa kuliona kandanda safi shamba la bibi basi utaliona the Emirates, usiache kuhudhuria mkuu
Hawatoki hawa ....Leo hamuondoki na point tatu mkuu
Siku yangu itakua poa sana wakibaniwa hawa jamaa, maana wameshachukua ubingwa kwa mdomo tayariHawatoki hawa ....
Haters wote wa Looserfool, manure,city, spurs woote leo wako against arsenalSiku yangu itakua poa sana wakibaniwa hawa jamaa, maana wameshachukua ubingwa kwa mdomo tayari
Nilivoona qoute yako tu, nikaanza kucheka kabla hata sijaiosoma,Haters wote wa Looserfool, manure,city, spurs woote leo wako against arsenal
lakini HAITASAIDIA kama perfomance itakuwa ya ukweli CHELSEA atakufa tu
naona sasa Furaha yako nyingine ni kuomba NJAA kwa arsenal
Haters wote wa Looserfool, manure,city, spurs woote leo wako against arsenal
lakini HAITASAIDIA kama perfomance itakuwa ya ukweli CHELSEA atakufa tu
naona sasa Furaha yako nyingine ni kuomba NJAA kwa arsenal
na sasa ndo unajua UGUMU WA KUPATA TOP 4
khe khe khe kheeeee
Tushapigwa una HAKI YA KUTAMBA......Lkn baadae mkipigwa tunahamia kwenu kukinukishaBwahahahahaha Man U wana ngumi za kizamani
Teh teh tehTushapigwa una HAKI YA KUTAMBA......Lkn baadae mkipigwa tunahamia kwenu kukinukisha
Leo utatoka na timu yako mbovu ile?Bwahahahahaha Man U wana ngumi za kizamani
Mbona umepagawa mapema hivi
Hawa The so called Illiminate veepeeeee Mbona wameachia jana hajafungaaa???Teheeee teeehe mtani tena achukue na ballon d'or kabisa kutoka kwa zile UFO mbili zinazopokezana
Kumbe upo....tehe teheHawa The so called Illiminate veepeeeee Mbona wameachia jana hajafungaaa???.
Mtanisana jana naona alimanasura Norwich wakuharibie shoo.
Kwahiyo unakubali awe out au???Doh! It's getting difficult to defend this....