Ulimsikia Scholesy alivyosema? Ni kama nilivyosema jana, LVG anawabana wachezaji kwenye positions na kuwafanya wasiwe dynamic. Mata ukimpanga kwenye right wing na kutegemea atacheza vizuri kwa ku-stick kwenye position utamwonea bure. Vivyo hivyo kwa Herrera, Martial na hata Rooney. Sasa tukija kwa Fellaini, jana alikuwa akicheza nafasi ya Morgan. Sasa kama defensive midfielder unategemea angefanya nini? Fellaini is more useful akiwa kwenye front attacking line; kwa kutumia kimo chake.fellaini ndio anavuruga timu, we angalia siku akianza timu inakuwa haina free flowing football...ila ndio LVG huyo sijui huwa anafikiria nini?
Ok....route one footballUlimsikia Scholesy alivyosema? Ni kama nilivyosema jana, LVG anawabana wachezaji kwenye positions na kuwafanya wasiwe dynamic. Mata ukimpanga kwenye right wing na kutegemea atacheza vizuri kwa ku-stick kwenye position utamwonea bure. Vivyo hivyo kwa Herrera, Martial na hata Rooney. Sasa tukija kwa Fellaini, jana alikuwa akicheza nafasi ya Morgan. Sasa kama defensive midfielder unategemea angefanya nini? Fellaini is more useful akiwa kwenye front attacking line; kwa kutumia kimo chake.
Sidhani kama Fellaini kucheza kwenye front attacking line lazima kumanishe 'route one footie'. Anaweza kuwa muhimu kwa urefu wake kwenye kona na crosses kutoka kwenye wings. Haamanishi ati kuwa na Fellaini mbele basi ni lazima mipira iwe inabutuliwa tu kwenda mbele ili Fellaini aitulize. Licha ya kutumika kwenye kona na crosses, anaweza kutumika pia pale game tactics zinavyo-go wrong na timu inahitaji ushindi kwa lazima. Hapo urefu wake utahusika pia.Ok....route one football
Chief, hivi nitajie returns za Real kutokana na kufukuzafukuza huko toka waachane na Del Bosque mwaka 2003. Zaidi ya UCL 1, La Liga 3 na kombe la mfalme. Hapo wamekuwa na makocha 12 toka Del Bosque atimuliwe. Ndiyo unataka hivi?Niwazi timu yetu haina uwezo wa kubeba kikombe chochote kwa kipindi hiki, starting with body language ya mpaka ya wachezaje, we can olny put up a fight and struggle to gain a top 4 spot, otherwise hakuna miracles aisse kama mshabiki inauma sana.
wenzetu wanafanya mabadiriko mapema sana wanapoaana dalili za kupotea sisi tumekalia kwenye masela ambayo yashapitwa na wakati, kipindi hiki mpira ni biashara matokeo mabovu si tu yanaumiza mashabiki yanaumiza mpk mauzo ya team, RM knows that ndio maana hawapotezi muda wakiona dalili hawitaji prove beyond reasonable doubt, sasa sisi wa OT mpk tushindwe shiriki ECL ndio tuchukue hatua
Chief, hivi nitajie returns za Real kutokana na kufukuzafukuza huko toka waachane na Del Bosque mwaka 2003. Zaidi ya UCL 1, La Liga 3 na kombe la mfalme. Hapo wamekuwa na makocha 12 toka Del Bosque atimuliwe. Ndiyo unataka hivi?
Chief, hivi nitajie returns za Real kutokana na kufukuzafukuza huko toka waachane na Del Bosque mwaka 2003. Zaidi ya UCL 1, La Liga 3 na kombe la mfalme. Hapo wamekuwa na makocha 12 toka Del Bosque atimuliwe. Ndiyo unataka hivi?
Inategemeana hayo matokeo yanasababishwa na nani? ( viwango vya wachezaji au kocha)Fans tunachojua baada ya Stress mambo yasipoenda vizuri ni option mbili huja kichwani (na wala sio Solution)
MOJA: fukuza meneja haraka
PILI: Ingia sokoni Jaza wachezaji hata wakiwa Overated We leta matokeo yapatikane
Hii inaitwa Stress ya mashabiki na hakuna lingine
from Arsenal Fan
Inategemeana hayo matokeo yanasababishwa na nani? ( viwango vya wachezaji au kocha)
Ni wazi kabisa matokeo tunayoyapata utd ni tatzo la kocha, na sio kwamba hajui but huwa sielewi anafanya makusudi au vipi, hadi sasa wachezaji wenye uhakika wa kuanza ni de gea, smalling, blind, Rooney na martial hawa wengine muda wwte wanaweza kuwekwa benchi au kuanza,
Sasa huu Mwaka wake wa pili bado haelewi starting eleven yake nani alaumiwe?
Pia ipo wazi wachezaji wetu wengi wanakua chini ya kiwango pia hawana consistency sababu ya kubadilishiwa namba kila mechi, tumewakomalia sana madrid kwamba wanabadilisha makocha bila mafanikio lakin tunamsahau abromovic, Barcelona na hata Bayern makocha wanakuja wanawapa ubingwa wanaondoka, ni Manchester pekee ambapo kocha anapewa mkataba mzima kuitengeneza timu, akiondoka van gaal hata giggs akianza tutaambiwa apewe muda anatengeneza timu.
Ahsante mkuu tumerudi kwenye kilio changu kile kile cha kila Siku, kwann aruhusu wachezaji wengi kuondoka kwa mkupuo tena wengine kwa kuwa force? ( RvP, chicha, Rafael etc) hawa wote kawalazimisha kuondoka.Bayern, Barcelona na Chelsea huwezi kuwafananisha na Manchester utd, kwa sababu hawakubadilisha Entire Team
hizo timu hazijafumua vikosi vyao kama Nyie
ebu kaa chini uangalie Timu yako miaka mitatu iliyopita yaani 2013 na sasa 2016, una timu mpya kabisa na wachezaji wengi wageni....Huu mlundikano wa wachezaji wengi wapya UNAHITAJI TIME KUJEL mzee hakuna muujiza lazima watu wakae pamoja muda mrefu wazoeane.....
Ndani ya misimu miwili mmnunua Almost timu nzima afu unataka wapate matokeo kama Timu ya Fergie ambayo ilikuwa inaongeza mchezaji mmoja au wawili kwa Dirisha
LVG kwa mtizamo wangu anakosa Kikosi cha kwanza kwa kuwa ana new faces nyingi anaaangaika kupanga na kupangua amuanzishe nani na nani kila mechi.....(hii inamgarimu sana) kwa kuwa nyuma yake kuna Presha kubwa ya matokeo
pili ana limit personal skill za wachezaji (hii ni weakness yake kubwa) wachezaji hawako Huru....huu ni wakati ambao LVG lazima abaki ali sort tatizo lake aache timu ikiwa Stable msimu wake wa mwisho ukiisha next season
Issue ya Giggs, akipewa timu lazima apewe Time pia....Hakuna kitu kigumu kama Kufundisha tena Modern Football hii iliyojaa Presha ya matokeo
Neville Brothers wamecheza game 6 kule valencia wameshinda moja....unaweza kuthubutu kusema WAFUKUZWE? na hao hao walipokuwa Pundits walikuwa Mgongoni mwa LVG wakidhani ni Kazi rahisi kuleta matokeo
Ahsante mkuu tumerudi kwenye kilio changu kile kile cha kila Siku, kwann aruhusu wachezaji wengi kuondoka kwa mkupuo tena wengine kwa kuwa force? ( RvP, chicha, Rafael etc) hawa wote kawalazimisha kuondoka.
Kaleta sura mpya ambazo kwanza hazina uzoefu na ligi ( kwa maana hyo lazima wapate muda wa Kusoma mazingira), wakati wakongwe wangekuwepo wangeweza kutumika kama back up wakati wengine wakiendelea kusoma mazingira,
Pia chukua kikosi cha spurs cha 2012/13 compare na cha saiz utaona kuwa karibia nao wote ni sura mpya then angalia mpira tunaocheza sisi na wanaocheza wao ( ardhi na mbingu), na Mwaka alioenda pochettino spurs ndio Mwaka aliokuja van gaal utd
Wakati wa kina RVP,Rafael,Chicharito ulishapita kumbuka hawa wote walikuwepo msimu ambao Moyes alikuwepo na still hawakusaidia,LVG alaumiwe kwa kushindwa kuwatumia hawa wachezaji aliowanunua sio wabovu ni mfumo wake ndio una matatizoAhsante mkuu tumerudi kwenye kilio changu kile kile cha kila Siku, kwann aruhusu wachezaji wengi kuondoka kwa mkupuo tena wengine kwa kuwa force? ( RvP, chicha, Rafael etc) hawa wote kawalazimisha kuondoka.
Kaleta sura mpya ambazo kwanza hazina uzoefu na ligi ( kwa maana hyo lazima wapate muda wa Kusoma mazingira), wakati wakongwe wangekuwepo wangeweza kutumika kama back up wakati wengine wakiendelea kusoma mazingira,
Pia chukua kikosi cha spurs cha 2012/13 compare na cha saiz utaona kuwa karibia nao wote ni sura mpya then angalia mpira tunaocheza sisi na wanaocheza wao ( ardhi na mbingu), na Mwaka alioenda pochettino spurs ndio Mwaka aliokuja van gaal utd
Huyu kijana huwa ananifurahisha sana kwanini LVG hampi nafasi? Natamani Sana nimuone mara kwa mara akichezaHata Pochetino alivyotua Spurs aliwaondoa Adebayor,Fazio,Soldado,Capoue,Dawson,Lennon,Paulinho,Kaboul,Stambouli hii iliwasaidia sana kuwapa nafasi chipukizi kwa sasa Spurs ndio timu yenye wachezaji wengi chipukizi wa kiingereza.Philosophy ya LVG haiwezi kufanya kazi kwenye EPL, tuna wachezaji wazuri sana(DDG,Smalling,Shaw,Darmian,Herrera,Mata,Martial,Bastian,Pereira,Valera,Morgan) kocha anashindwa kuwatumia vizuri
Asa si utoke humu au hujui kusoma??nenda kwene uzi wenu...nyaaaanggggg''''aaaauuuuuwewe ndo M/KITI wa machizi sasa..Mi siwezi kuwa shabiki wa timu yenu ya Tandale mchamgani hiyo
Una maana gani?Moja ya makosa makubwa tuliyoyafanya.....Nyangema wetu yuleeeeeeeee
Alilazimisha kuondoka na contract yake ilipokuwa imefikia hamna namna ilibidi tu aondoke....moja ya mambo yaliyomuuma sana Sir Alex ni kuondoka kwa huyu dogo.Moja ya makosa makubwa tuliyoyafanya.....Nyangema wetu yuleeeeeeeee