elia stephen
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 263
- 82
Wew unapotaja klab bora na kubwa duniani usipotaja Man u utakiwa chizi wewe...halafu toka kwenye uzi wetu ww sio man u dam dam unanusanusa tuREAL MADRID ni klabu bora ulimwenguni usiifananishe na za mchangani kama MAN U tafadhali
Ndg bado unakwepa historia afu unarudi kwenye historia.. Unazungumzia dhahania ya udikteta kwa Madrid dhidi ya UCL hizo ni fikra tu au ndo tuamini kubebwa kwenu MAN U ndani ya EPL enzi za Alex Ferg ambae alipewa hiyo heshima ya Sir kwa mtazamo wa Waingereza ambao wanaongoza kwa misifa ya kijinga? Kubali tu kuwa umeshatanguliwa na huwezi kumkaribia MADRID mpaka siku umeme utakaposambazwa kwa wireless.
Huyu Januzaj alionywa. Amecheza dakika chache sana kule Dortmund. Arudi tuManchester United have recalled Adnan Januzaj from his season-long loan at Borussia Dortmund.
Ha ha ha! Naona umefufukaMAJIRANI ......HABARI ZENYUUU BHAAAAANA!!!! NMEPITA KUWASALIMIA NAONA MWAKA MMEANZA NDIVYO SIVYO!!!!
Hata Will Keane naye karudishwa kutoka Preston. Naona LvG anataka kuongeza attacking options. Hivi James Wilson yupo kwa mkopo naye? Dogo ako poa sana yule pia.Manchester United have recalled Adnan Januzaj from his season-long loan at Borussia Dortmund.
Hivi yupo kwa mkopo au alikuwa majeruhi? Mara ya mwisho nakumbuka kama alicheza mechi moja hivi kati ya kombe la Capital au Makundi UEFA akaumia.... Th Name Bavaria Belo JOAQUEM RRONDO CHIEF MKWAWA eti Dogo Wilson yupo wapi????Hata Will Keane naye karudishwa kutoka Preston. Naona LvG anataka kuongeza attacking options. Hivi James Wilson yupo kwa mkopo naye? Dogo ako poa sana yule pia.
Yah, Wilson yupo kwa mkopo Brighton ila anaweza akaitwa muda wowote tukimuhitaji kwa mujibu wa makubaliano, kile kipindi Rooney kaumia alitaka aitwe sijajua ilikuaje ikaishia hewani.Hata Will Keane naye karudishwa kutoka Preston. Naona LvG anataka kuongeza attacking options. Hivi James Wilson yupo kwa mkopo naye? Dogo ako poa sana yule pia.
Asante sana my kaka,hivi kipindi kile alichoumia ulikuwa msimu huu au umepita kumbukumbu hazipo kabisa........... halafu sasahivi JF inaboa sana yaani unaona Avatar yangu imehamia kwa Nzi hapo ulipoquote....Yah, Wilson yupo kwa mkopo Brighton ila anaweza akaitwa muda wowote tukimuhitaji kwa mujibu wa makubaliano, kile kipindi Rooney kaumia alitaka aitwe sijajua ilikuaje ikaishia hewani.
Ila muda wwte tukimuhitaji anarudi
Sio kwako tu Dada yangu ni kwa wengi mpaka unashangaaAsante sana my kaka,hivi kipindi kile alichoumia ulikuwa msimu huu au umepita kumbukumbu hazipo kabisa........... halafu sasahivi JF inaboa sana yaani unaona Avatar yangu imehamia kwa Nzi hapo ulipoquote....
Agriiiiiiiiii wanaboa hata appetite ya kuingia humu Inapotea.Sio kwako tu Dada yangu ni kwa wengi mpaka unashangaa
Ulikua ni msimu huu sister nakumbuka game ya mwisho kucheza ilikua ni kwenye C1C dhidi ya Middlesbrough ndio aliyoumia mwezi wa kumi kama sikosei alipopona ndio akapelekwa huko,Asante sana my kaka,hivi kipindi kile alichoumia ulikuwa msimu huu au umepita kumbukumbu hazipo kabisa........... halafu sasahivi JF inaboa sana yaani unaona Avatar yangu imehamia kwa Nzi hapo ulipoquote....
Inaboa kweli aisee. Nashangaa avatar yangu ipo kwa wengine duuuhAgriiiiiiiiii wanaboa hata appetite ya kuingia humu Inapotea.
toka aondoke porto mourinho ni miaka 12 au unaweza sema 11. 2004-2016 na haya ni mafanikio yake ya ligi
-chelsea mara 3
-inter mara 1
-madrid mara 1
so miaka 12 makombe 5 ni record ya kawaida compare na fergie rekodi yake ya 1992 hadi 2012/2013 ambapo makombe ya ligi ni zaidi ya nusu kama kumbukumbu zangu ni sahihi kabeba 13
so fanya simple math tupe jawabu
13/21 na 5/12 ipi kubwa?
unahamu uone man u akimfunga madrid? usijali hamu yako nitaikidhi angalia video hii hapa chini
ronaldo, zidane, carlos, raul na mastaa wote ndani wakachezea kichapo traford
na juzi juzi hapa ashley young aliwafanya vibaya sijui unashabikia madrid ipi mpaka hujui kama man u wanawafunga.
-moratta katoka kwenu, nusu fainali akawapiga na akawatoa halafu mkamtaka akawachomolea au huyu moratta hajacheza madrid?
-alonso nae akawaacha solemba akaenda bayern huyu nae vipi?
siku zote madrid walikuwa ni shimo la takataka la man u mchezaji akigombana na fergie anauzwa madrid
-beckham
-van nistelrooy
-heinze etc
mchezaji pekee ambae mlimchukua kwa force ni ronaldo tena baada ya kuvunja rekodi ya dunia.
hawa ndio malegend wetu wa karibuni hebu nitajie nani alikuwa anaitamani madrid na haitaki man u?
-Eric cantona
-ryan giggs
-paul scholes
-best
-irwin
-ferdinand
-Rooney
etc
na mfano mZuri ni rooney mumemtaka hadi basi lakini kabaki man u kwa hiari yake mwenyewe.
wachezaji wanaotamani kucheza madrid/barca ni wa america kusini ila wengi wa ulaya hawana time na timu kama hizo. wapo epl/bundesliga/seria a nk
Shikamoo Chief-Mkwawatoka aondoke porto mourinho ni miaka 12 au unaweza sema 11. 2004-2016 na haya ni mafanikio yake ya ligi

Asante sana my kaka,hivi kipindi kile alichoumia ulikuwa msimu huu au umepita kumbukumbu hazipo kabisa........... halafu sasahivi JF inaboa sana yaani unaona Avatar yangu imehamia kwa Nzi hapo ulipoquote....
Inaboa kweli aisee. Nashangaa avatar yangu ipo kwa wengine duuuh
Tet teh vipi ulipata anayekupenda kule au hahaha?Teeehe teehe avatar kufanana siyo kosa acheni stress za LVG (joke)