UCL ni kombe la bahati nasibu lile ... .... ... . hata Chelsick walichukua ..... .
Upo kama Carragher anayemponda Ozil, wakati Ozil ana world cup medal. Khe khe khe khe khe khek he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNyie ndio hamjafanikiwa kuingia kwenye bahati nasibu?
Kombe la nini? Sishangai ndio maana uefa wanapangwa wanaume kwanza utaona pot 1 barca port 2 man u port 3 chels port 4 Real port 5 juv port 6 buyern halafu Katimu kadogo kama arsenal kanatupwa Kwa buyern na kulialiaUCL ni kombe la bahati nasibu lile ... .... ... . hata Chelsick walichukua ..... .
Chukua likeKombe la nini? Sishangai ndio maana uefa wanapangwa wanaume kwanza utaona pot 1 barca port 2 man u port 3 chels port 4 Real port 5 juv port 6 buyern halafu Katimu kadogo kama arsenal kanatupwa Kwa buyern na kulialia
Kombe la nini? Sishangai ndio maana uefa wanapangwa wanaume kwanza utaona pot 1 barca port 2 man u port 3 chels port 4 Real port 5 juv port 6 buyern halafu Katimu kadogo kama arsenal kanatupwa Kwa buyern na kulialia
Mijitu mingine ahh ushuzi mtupu. Eti bahati nasibu. Mabingwa wa timu za Ulaya wanashiriki na kupatikana Bingwa halafu mtu anakuja kusema eti bahati nasibu. Baridi ya Alaska itakuwa imemdhuru.
Ndio matatizo ya kukariri, utashangaa vipi wakati hata utaratibu wa kawaida tu hufahamu unakupiga chenga. Mlikuwa mnalialia hapa miaka yote oh Gunners wanapendelewa sasa utaratibu umebadilishwa bado mnalialia tu. BTW wewe timu yako ipo kwenye pot gani? Umesukumizwa kwenye mechi za Alihamisi halafu ati unakuja kifua mbele, Kama unataka kuongelea historia sema, hivi sasa Gunners mziki mnene muulize yeyote yule wivu wa kike utawaua. Mlikuwa mnachema hivyo hivyo tulipokuwa tumepangiwa na Munchen tulivyowabangua mkafyata mkia, grow up! Gunners wapo 16 bora hivi sasa huko Uefa unakoongelea Manure wako wapi? Nafahamu utaanza kuruka kimanga ati wewe Chelsick chacha hao Chelsick wako wapi? Wanapiganana na kina Villa kwenye relegation battle ya EPL. Wacha kamba Gunners tupo mbele kwa mbele utatusikia tu mwaka huu na kwako ni majonzi. khe khe khe khe khe khe khe he he khe eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ulichema hivyo hivyo tulipowachapa Munchen, wenzako Barca wanaharisha hivi chacha kusikia Gunners wanawachubiri, weye ngoja Ali Hamisi .... .... .... Nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha wivu wa kike.Nashukuru Barcelona watatuondolea makelele mitaani muda si mrefu.
Ulichema hivyo hivyo tulipowachapa Munchen, wenzako Barca wanaharisha hivi chacha kusikia Gunners wanawachubiri, weye ngoja Ali Hamisi .... .... .... Nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha wivu wa kike.
Ulichema hivyo hivyo tulipowachapa Munchen, wenzako Barca wanaharisha hivi chacha kusikia Gunners wanawachubiri, weye ngoja Ali Hamisi .... .... .... Nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha wivu wa kike.
uandishi wako huu wa kijinga sana. I suppose ukiwa mwanafnz sifuri haukufai, I would draw you an assCycle yenu tangu aondoke mzee wa vipochi tunaiona. Angalia table inavyosema. February tutawaona mkicheza vanga kwa Ali khamis aka Thursday Night Football. Barca ataondolewa msimu huu, utakuwepo hapa Jumanne/Jumatano kutushangilia hahahahaha
Utakuwa mpya wewe. Hujui banters za humu.uandishi wako huu wa kijinga sana. I suppose ukiwa mwanafnz sifuri haukufai, I would draw you an ass
kaka nimepitia blog nyingi za man u leo za wazawa kila ninapokwenda madrid ni kituko na kichekesho sisi tu ndio tunaona wamefanya la maana.Wasio penda utan ktk suala zima la kupata matokeo uwanjan….
REAL MADRID ni klabu bora ulimwenguni usiifananishe na za mchangani kama MAN U tafadhalikaka nimepitia blog nyingi za man u leo za wazawa kila ninapokwenda madrid ni kituko na kichekesho sisi tu ndio tunaona wamefanya la maana.
kitendo cha kumfukuza kocha aliowapa uefa (anceloti) na kumpa benitez tayari inaonesha ni jinsi gani madrid ilivyo joke club.
na kumtoa benitez na kumpa zidane mtu ambae hata experience hana pia ni bahati nasibu wanacheza.
hebu tuangalie timua timua ya madrid ina faida gani?
mabingwa la liga karibuni
-2008 ni barca
-2009 ni barca
-2010 ni barca
-2011 ni madrid
-2012 ni barca
-2013 ni atletico
-2014 ni barca
so miaka 7 iliopita wana ubingwa mmoja tu wa ligi. kwa ulinganishaji man united toka 2008 kabeba mara 4.
uefa hivi karibuni
kwa zaidi ya miaka 10 iliopita madrid kabeba mara 1 tu uefa na kafika fainali hio hio moja.
kwa ulinganishaji man u kafika finali 3 na kombe 1, barca finali 4 na kombe 4, bayern fainali 3 kombe 1.
hivyo madrid finali 1 compare na kina barca, bayern na man u ni kichekesho.
hivyo sioni cha kusifia hapo hao jamaa policy yao ni mbovu tu.