Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wacha1 fanya mpango mrudishe yale maturubai mliyoazimwa jana usiku kutoka huku Man utd maana kuna simba wa blue anazuru mitaa hii kesho. Wawe tayari wameshayapigilia tayari kwa kulia.
 
Last edited by a moderator:
Dada yangu kwema hapa?Ndiyo soka usife moyo pigana ili mwakani angalau mcheze YUROPA Ligi!Edwin Hazard atafunga kwa mara ya kwanza mkicheza kesho

Mnaweza poteza kwa Chelsea lkn ndiyo soka!
Kaka yangu Asante sana tumeshapoa Ngoja malengo yatimie......
Wacha1 fanya mpango mrudishe yale maturubai mliyoazimwa jana usiku kutoka huku Man utd maana kuna simba wa blue anazuru mitaa hii kesho. Wawe tayari wameshayapigilia tayari kwa kulia.

Malafyale fanya mpango wa kukodi waliaji maarufu maana kesho hapa patahitaji msaada mkubwa.
Cc: Rutashubanyuma

Wewe Mcharo wangu kesho nakupa bureeee japo itakuwa ni aibu sana ila sina budi kupitia kikombe hiki cha uchungu ili malengo ya baba #LVGOUT yatimizwe, mwana wa Sir Alex Ferguson hana budi kuchinjwa ili kwa utukufu mkubwa adhihirishwe akiisha kupitia yote. Baada ya kitambo kidogo tu atarejea......... #LVGOUT
 
Last edited by a moderator:

mdada everlenk pole kwa kipigo, pacha yako cute b siku hizi simwoni" itabidi vigodoro mvicheze humu humu kwenu ........... Unataka LVGOUT labda ni kocha gani mtapata mzuri zaidi y huyo?! mi naona apewe muda, mana mkimchukua morinho mtajutaaa" mjiandae Martial kugeuzwa beki.
 
Last edited by a moderator:
Wacha1 fanya mpango mrudishe yale maturubai mliyoazimwa jana usiku kutoka huku Man utd maana kuna simba wa blue anazuru mitaa hii kesho. Wawe tayari wameshayapigilia tayari kwa kulia.

Watu wengine kwa kujitutumua tu!! Yaani upo points 2 above relegation zone, halafu unajitutumua humu?😳😳
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine kwa kujitutumua tu!! Yaani upo points 2 above relegation zone, halafu unajitutumua humu?😳😳

Mkuu hata maiti huendelea kuwa na joto japo kwa masaa kadhaa. Hivyo usishangae hilo ni kawaida ya mfu.
 
Mkuu hata maiti huendelea kuwa na joto japo kwa masaa kadhaa. Hivyo usishangae hilo ni kawaida ya mfu.

Ha ha ha...yaani kesho ikiwa hivi: Man United kashinda, Norwich City kashinda, Newcastle United kashinda na Swansea City kashinda, hao Rent boys watakuwa nafasi ya 18, yaani watakuwa kwenye relegation zone.

Sasa huyu kweli ni wa kuleta maneno mingi humu ndani kweli? Yeye aende kwenye threads za Newcastle, Sunderland na Aston Villa huko, ndizo saizi zake.
 
😀😀😀😀😀 Nimecheka sana
 
Maajabu yanaendelea kutokea...

"Mwizi kaiba vibanio, kaacha jezi ya man u"
 
Man UTD fans listen to reaction from this kid:

We Got Taught A Lesson! | Manchester United : Source: FullTimeDEVILS youtube

Nafikiri fans wote mnaopiga porojo humu mngejifunza kitu kutoka kwa huyu mtoto
 
Come on #MUFC
 
Attachments

  • 1451321046706.jpg
    111.6 KB · Views: 43
Hii game ya kushinda leo,kuna rumours kuwa SAF amekutana na wachezaji OT kabla ya mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…