Juzi au jana nilisema siamini kuna watu wanatetea uozo huu....Na walijitokeza kutetea uozo huu na leo watajitokeza tena kutetea uozo huu!!! LVG IS USELESS, HE HAS NO CLUE!!!!! Kaishiwa mbinu hana jipya GBP 250M ndio matunda yake haya.....afadhali ya D.MOYES kwa kweli.....
Nilikuwa naangalia mpira bar nimerudi home kulala huyu mpuuzi anaendelea kuniharibia festive season yangu.......