Van Gaal will go 'sooner rather than later'
Former player Jan Age Fjortoft believes Manchester United manager Louis van Gaal will be sacked and replaced by Ryan Giggs in the next few days, possibly even before Christmas.
Fjortoft, who played for Middlesbrough, Sheffield United and at international level for Norway, now works as a pundit in Germany, and says his contacts have led him to believe meetings to decide Van Gaal's future are at an advanced stage.
He also says the situation at Old Trafford since Sir Alex Ferguson's departure as manager closely resembles Bundesliga side Werder Bremen, who lost Otto Rehhagel as manager after 14 years in charge in 1995.
This clip is from 5 live Sport on Tuesday 22 December 2015.
Chanzo : http://www.bbc.co.uk/programmes/p03csz7c
herrera na everlenk naona GIGGS yuleeee
Wakati FC Barcelona wanasitisha contract na Rijkaardt walifanya mazungumzo na Jose na makubaliano yalifikiwa waliona kuwa Jose aliwahi kuwa kocha msaidizi wa LVG kwa misimu minne hivyo anaijua Barca. Tofauti ikawa tabia binafsi za Jose ambazo Jose mwenyewe alikiri ingekuwa vigumu kujidhibiti. Wakaachana naye na kumchukua Josep Guardiola aliyekuwa kocha wa Barca B iliyokuwa ikishiriki ligi daraja la tatu. Sababu ni kuwa alikuwa anaifahamu vizuri falsafa ya timu kwa vile amekuwa nayo. Hii ni sawa na Luis Enrique. Giggs anaweza kufanya vizuri na Man U kwa vile amekuwa na timu tangy akiwa na 14 yes. Anaijua falsafa ya timu kuliko hata kukimbilia hizo "SEXY NAMES" ambao wanataka tu kujazia CV zao. Sory kwa kuingilia page yenu.Giggs anaijua falsafa ya United kuliko huyo Morinho.
Giggs Sawa ila bado bado anatakiwa akomae zaidi kwa sasa apate manager Mkuu ambaye watasaidiana.
Kama mnataka Kuleta Damage na controvesry mchukueni huyo domokaya
News za leo zinasema hayupo interested Ngoja tuone movie hili....
Shida yake mou si matokeo bali ana bad personality
huwezi kuwa kocha wa Top club ukaenda kuwasema mbovu wachezaji kwenye public kupitia media, kugombana na Waamuzi na kingine Kuropoka ropoka (inaua image ya club) maana club ni brand ya biashara
kifupi naona mabosi wa manure wanata Ku pull trigger wanasita sababu ni Personality yake iliyojaa controversy haiendani na Ukubwa wa Club yenu
Sana sana wanaomleta mou ni Fans na media kuzua Rumours....kabla ya owners
Tusubiri baada ya matokeo ya december kuisha
Hahaha.. wamemkomoa kichizi.. #LVGOUT
actual sio fair wanachomfanyia na kuna misimu fergie alikuwa na matokeo mabaya kuliko haya.
1.yeye ndio alioirudisha timu uefa ni bora makundi kuliko kutokuwepo kabisa
2. yeye ndio aliostop decline, liver alivyoenda nafasi ya 7 imemchukua miaka mingap kukaa sawa? ila lvg msimu mmoja tu kairudisha top 4 tena na wachezaji tofauti na wa fergie.
3. kama walivyoandika juzi tu kama mwezi uliopita tulikuwa wa 1 hivyo mwenzi mbaya wa matokeo haufanyi mtu kuwa useless. hadi leo nakumbuka msimu pogba anaondoka tulikula vichapo mfululizo kwenye birthday ya fergie tena vya 3-0 na 3-2 toka timu kama newcastle na blackburn.
baada ya wiki kadhaa tunaweza pia kurudi top of the league.
4. wana wajibu wa kumuomba msamaha na lvg ana haki ya kuwashitaki na hata man u kama club tunaweza vishitaki hivyo vyombo vya habari kwa kuandika ambazo si za kweli kuwa jamaa amefukuzwa
Nieleze miye pacha wake.....