Katika ubora wake tena
Duhhhh!!!!! Inauma sana!!! Haivumiliki hata kidogo..... #LVGOUT
Mashabiki wa united acheni kuwa glory hunters... hivi mngefungwa game nyingi kama chelsea si mngekufa kwa hasira...
LVG is building another dynasty... timu ambayo itatawala soka kwa miaka kibao ijayo.. it took sir alex miaka zaidi ya mitano kupata kitu bora..tulieni
hahahaha uvumilivu umenishinda.....nimeyabwaga rasmi leo..... #LVGOUT
hahahaha uvumilivu umenishinda.....nimeyabwaga rasmi leo..... #LVGOUT
Golden Boy Anthony Martial pulled back one goal but it was not enough even with double digit corners that amounted to nothing. Meanwhile, Louis Van Gaal sat on his philosophical ass as Giggs came out to move the team,but something doesn't smell right. Norwich wins at OT for the first time since 1989 ending the match 1-2. Some amazing effort from Smalling with that header, Blind & Young were pushing & pushing, but it was not enough. That moment when I saw Roy Keane leaving OT and some fans yawning, I realised that OT has lost it's magic and with that, my official match analysis is ‪#‎LVGOUT‬. What your analysis of this game?
Kama tunashindwa kuwafunga Bournemouth na Norwich tutaweza kwa nani?
Tunahitaji kocha mpya huyu mzee kazi imeshamshinda,the best decision ni ajiuzulu mwenyewe au afukuzwe mapema.Giggs akabidhiwe timu hadi mwisho wa msimu
Itakuwa ni maamuzi mazuri kumpa timu hata Giggs kuliko kuendelea na huyu Mzee....
LVG ajipime mwenyewe na afanye maamuzi magumu.
Ndugu yangu kwema hapa?Fukuza huyu mwehu wenu ambaye anashindwa kuvuka CL kwa teams kama PSVLong time nilikuwa nasema LVG IS USELESS naona sasa mmenielewa bado Nzi tu......na leo amini msiamini tulivyofungwa nilishiukuru na mechi mbili zijazo tufungwe ili huyu mzee wa philosophy afukuzwe.
Ndugu yangu kwema hapa?Fukuza huyu mwehu wenu ambaye anashindwa kuvuka CL kwa teams kama PSV