Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nani kakaliwa kooni sana na Ivanovic.....Raaaha sana hii game.....
 
Nice sub....Kuingia kwa Berbatov kutarudisha mashambulizi....haka kachicharito bado kupewa nafasi 1st 11 japo ni mchezaji mzuri....ila ni super sub......
 
waaaaaaaooooooghhhhh!!!!! PENALTY...............................
 
Yaani hawa Chelsea over ndo wanataka kusawazisha......wanashambulia kama Nyuki......Raaaha sana........
 
naona refa kabeba timu ya nyumbani oh well... On to the next one... Hongereni chelsea.
 
Hodi hodi umu, nimeleta majamvi na turubai nasikia kuna msiba hapa lol


Poleni wakuu manda , eglypz,bj ,mfarisayo na wengine kama nimewasahu ndio mpira huo , safari bado ndefu
 
peleka maturubai yako camp nuo
<br />
<br />
Maturubai yanabaki hapa mnaweza mkayaitaji tena weekend au yakaamishiwa liverpool.

Usiwe mkali mkuu juzi ulikuwa unafarijika na ushindi wa birmingham sasa leo msiba wako unakuwa mkali? Ha ha ha

Uzuri wake humu hata ukisusia msiba tutakamilisha mazishi sie majirani lol.
 
Hakuna ukali hapa kama ubingwa tayari tunao so we jifariji tu na timu yenu kimeo, mmeshindwa kombe la kijiji la wilaya mtaliwezea wapi?
 
Back
Top Bottom