BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Usiku ulikuwa mrefu jana baada ya mechi..agrr! Lampard na penalt yake!!..Eniwei, We're still the Best!!
Hodi hodi umu, nimeleta majamvi na turubai nasikia kuna msiba hapa lol
Poleni wakuu manda , eglypz,bj ,mfarisayo na wengine kama nimewasahu ndio mpira huo , safari bado ndefu
Manchester United imefungwa kwasababu refa alikuwa akiwabeba wachezaji wa Chelsea waliocheza rafu za wazi.Mfano David Luiz alimchezea rafu mbaya Chicharito mbele ya refa ajabu hata kadi ya njano hakupewa baadaye alimchezea rafu Rooney lakini tena refa hakutoa kadi nikadhani labda refa kasahau kadi nyumbani kwa mshangao wa wengi ilipofika zamu ya Vidic kadi ikitolewa !.Penalty ya Chalsea nayo nikichekesho kingine mcmechi kubwa kama ya jana refa makini kamwe hawezi kutoa penelty ya kipuuzi nanma ile ni ajabu makosa ya wachezaji wa Chalsea hayaoni kabisa sijui wanataka nini .Watashangaa mwezi May bingwa ni Man pamoja na kukandamizwa kote.
Huu ni mwaka wa tatu mfululizo Chalsea inabebwa na marefari nashangaa Wacha1 & co hawaoni kila siku wanaishadadia Man ??????.
Usiku ulikuwa mrefu jana baada ya mechi..agrr! Lampard na penalt yake!!..Eniwei, We're still the Best!!
AW, Wacha tu kama alivyosema Mbu naona bundi kahamia huku!!
Tuone mbele mana safari ndefu...
AW, acha tu kama alivyosema Mbu naona bundi kahamia huku!!
Tuone mbele mana safari ndefu...
powa powa mkuu, sio mbaya kama huyu refa hakuwa upande wenu manake wengi huwa wanamuogopa mzee fergie. Fergie akilalamika kidogo tu kuhusu refa FA wanachukua hatua lakini makocha wengine wakilalamika FA HAWAFANYI KITU.Ndio maana marefa wengi huwa wanawaogopa, si uliona rooney alimpiga kipepsi bila sababu mchezaji wa wigan refa akapeta? kama mchezaji wa wigan angemfanyia rooney vile ngoma yake ingekuwa ngumu.<p></p>
<p> </p>
Niko mkuu, jana nakubali tumechezea kichapo, ila we put our head up na ku focus next game.
BTW i iwsh you guys you noticed the ref' controversial decisions against us, hopeful next time mjue hata kama huwa 'tunapewa! feva na awa waungwana pia kuna siku huwa wanatunyonga. Kwaio ngoma droo au sio?
Wacha1 booooy! sema mkuu?, jana umepiga shoti ngap za grants kusherekea?
Wewe ni shabiki wa mpira tu wacha waone wenyewe.QUOTE]
Brown envelopes kama kawa ... .... ...... .... kesi ya RA unampelekea JK ... .... kazi ipo hapo Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Yaani Chelsick the mafioso team watoe msaada! ... .... kweli kufungwa kubaya kila timu inacheza mechi 38 sasa chijui huo msaada ni wa aina gani khe khe kheeeeeeeeeeeee nicheke mie. Chacha timu zote zinazotumia nguvu ya giza .... ..... zinakutana chijui nani atatoa mpunga zaidi ya mwenzike
khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nasikia hii weekend hata JT amekwenda kumsaidia mzee kuuza unga ili waweze kutimiza bonge la burungutu hata Lamps alionekana kwenye Supermrkets kadhaaa akifanya kazi yake ..... ...... ..yote ni kwa ajili ya ushindi then one Peasant loser anasema awasaidie Gunners .... .. khe khe kheeeee thubutu awasaidie mafioso wakusanye zaidi.
BTW Poleni wakuu wa Manure nasika Clattenburg kafanya vitu vyake leo ... .... SHAURI YENU mficha maradhi kifo humfichua ... .... .... Rooney hawezi kabisa kuadhibiwa kwanza ni English boy na FA ni England org. ambao wanapata bahasha kila mwezi kazi mnayo mwaka huu tutaona huko kubebwa kwenu kutawafikisha wapi?
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wajomba wamechacha wamekuja juu harusini wanasema mwali hatoki khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
JT na Lamps walifanya kazi ya ziada kukusanya mpunga wa kutosha.
Arsenal kama vile jana wamebeba kombe la CALLING wanavyofurahi khekhe eeee heeeee![]()
Vidic remonstrates with Atkinson after his sending off
but he will now miss the crucial trip to Anfield
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Poleni sana Wekundu wa Manchester......................
AW, acha tu kama alivyosema Mbu naona bundi kahamia huku!!
Tuone mbele mana safari ndefu...
Tuko pamoja....ila hii ndoa itadumu kweli? manake kibao kitageuka siku si nyingi na mume ataolewa....l.o.l
Rev.....una raha sana...!!!!! bora tu upotee kidogo kule kwetu!!!!!!
Manchester United imefungwa kwasababu refa alikuwa akiwabeba wachezaji wa Chelsea waliocheza rafu za wazi.Mfano David Luiz alimchezea rafu mbaya Chicharito mbele ya refa ajabu hata kadi ya njano hakupewa baadaye alimchezea rafu Rooney lakini tena refa hakutoa kadi nikadhani labda refa kasahau kadi nyumbani kwa mshangao wa wengi ilipofika zamu ya Vidic kadi ikitolewa !.Penalty ya Chalsea nayo nikichekesho kingine mcmechi kubwa kama ya jana refa makini kamwe hawezi kutoa penelty ya kipuuzi nanma ile ni ajabu makosa ya wachezaji wa Chalsea hayaoni kabisa sijui wanataka nini .Watashangaa mwezi May bingwa ni Man pamoja na kukandamizwa kote.
Huu ni mwaka wa tatu mfululizo Chalsea inabebwa na marefari nashangaa Wacha1 & co hawaoni kila siku wanaishadadia Man ??????.
Arsenal kama vile jana wamebeba kombe la CALLING wanavyofurahi khekhe eeee heeeee