Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mm nipo kwangu Ikwiriri!
Njoo na everlenk niwafungie samaki uduvi mrudi Dar muwafanye kitoweo

Unapoingia katikati ya Jiji la Leicester unakumbana na bango kubwa sana juu ya highway yao linasomeka:
"Jamie Vardy score whenever he want"

Yani huyo utamuona atakavyopotea.........

Nipe no zako za sim kwa pm nakuja huko ikwiriri kwa Bwana diwani uone hao Leicester city ninavyowapiga......

Chelsea sasa imerudi vibaya......na tarehe 28 naleta kilio ktk hii nyumba

Cc RRONDO everlenk cute b
 
Last edited by a moderator:
wachezaji wengi tu

Hivi schneiderlin ni majeruhi??, kusema ukweli philosophy za huyo mzee wengi hata sizielewi hivi na hii epl unaenda kucheza na viungo katikati wazee wawili(carrick na shwein) kweli mpira philosophy na van gaal anajua zaidi
 
hata me jana nilishangaa kuona morgan yupo bench. huyu anazingua sana aisee
 
huu ubingwa unakila dalili za kutua darajani ni suala la muda tu

Zilipendwaaaa!!!!!
 
Yaani hii ndo raha ya EPL leo unacheka kesho unalia, yaani hadi raha eti naye chelshitty amekuwa mmoja wa kumcheka The great Man U.
 
Last edited by a moderator:
Yaani hii ndo raha ya EPL leo unacheka kesho unalia, yaani hadi raha eti naye chelshitty amekuwa mmoja wa kumcheka The great Man U.

Man u yupi? Yule mwenye imani kuwa mafanikio yatakuja tu kwa kuamini historia ya team!? Heheheeee!! Mum u mnaroho za kujifariji kweli kweli.
 
Dada everlenk huu hali gani?? Naona gravity force kwenu inaongezeka siyo 9.8 tena

Nipo pouwa kiafya my kaka,ila kimchezo nipo hoi but all in all ni mapito tu yanapita nitakuwa Sawa.......
 
Last edited by a moderator:
Man u yupi? Yule mwenye imani kuwa mafanikio yatakuja tu kwa kuamini historia ya team!? Heheheeee!! Mum u mnaroho za kujifariji kweli kweli.

Hahaha mfalme mwerevu bana sikufikii wewe kwa kujifariji.......Ila ukweli ni mpito tu next tutakuwa Sawa.
 
Edo Kumwembe

.....Rahisi zaidi kuchoma mahindi kwa mwanga wa Tochi kuliko
Man United ya Van Gaal kupata mafanikio...siielewielewi
kabisa. Na ile notebook kazi yake nini kama hairudi na
majibu?? Bournemouth 2 United 1.....
 
Nasikia mna msubiria Pep msimu ujao

Sijui kwanini pep naye simkubali kivileeeee sijui coz part Ingine mimi ni Barca kuna ambayo niliyaona kwake siyo ,ila anyway sijui labda pengine anaweza kutufaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…