Asante sana Shem langu penda wewe zaidi, am red forever.....nakupenda Sana shemeji yangu na sitaki kukupoteza... Acha kuishabikia Man U
Hahhahahaha Shem yaani huko ndo balaa hizo timu zinatoa furaha ya muda.
hahahahaha .............. leo si ndio alhamis, manure wanacheza saa ngapi vile?! mana nimechoka kuangalia Futuhi tu kila siku.
Sasa Kwani kucheza alhamis ajabu Sasa we unaekuja kucheza jumanne ukitoka apo sijui utacheza siku gani😼😼😼😼😼😼😼😼
Asante sana Shem langu penda wewe zaidi, am red forever.....
Hahhahahaha Shem yaani huko ndo balaa hizo timu zinatoa furaha ya muda.
Tumecheza SAA 14:00......
Acha tu best hili si jembe tu Bali tinga tinga linalosafisha kila mahali.....Get well soon jembe Smalling
Schweinsteiger banned by the FA - Official Manchester United Website - http://www.manutd.com/en/News-And-F...nt-in-manchester-united-v-west-ham-match.aspx
Shembby mambo
Achana na mimi nitakuparua......lol
Hahahahaaaa yamekua hayo Shembaby?
Nisamehe bure shemdarling