Aiseee hama timu .... ... .... .... karibu Emirates wanakudanganya tu hawa wamezoea mpira wa Brown envelopes khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee huyu Shule bure kabisa anakosa goli la tatu hapa ..... .. .
Chaaaaa!!!! Kesho usinikimbie tu......linarudi hilo soon
just gloating.Chaaaaa!!!! Kesho usinikimbie tu......linarudi hilo soon
Man u wamenymwa goli maamuz mabovu
Poa poa twende zetu......HahahAha ulivyojihami Tandale mbona mimi huko huko ulifikiri niko masaki...lol
Twenzetu EUROPA
Hii ndio game LVG anastahili kuprove kama anastahili kuendelea kuifundisha