Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Malafyale newcastle kumbe hawayaogopi majoogoo!!! wamechinja majogoo 2-0......khe khe khe khe khe
 
Last edited by a moderator:
Independent : LVG to be
offered a new contract!

Manchester United are willing to extend
the contract of manager Louis van Gaal
once he clarifies that he is willing to stay
on at Old Trafford.

kuna kila dalili za huyu mzee kubaki OT
 
Kama United atatolewa Champions league kwenye group stage na LVG akakosa ubingwa wa EPL/FA msimu huu sidhani kama atabaki
 
timu iliyosafiri kwenda ujerumani

De Gea, Romero; Blind, Borthwick-
Jackson, Darmian, McNair, Smalling,
Varela, Carrick, Fellaini, Goss, Lingard,
Mata, Pereira, Powell, Schweinsteiger,
Young; Martial, Memphis
 
Haya mambo hupata pengine ila pale Man U tu.

1...Juzi dhidi ya West Ham walipiga shuti 22 golini lakini on target ilikua 1 tu.

2...Game dhidi ya Leicester city muda wa mapumziko dakika zote 15 alitumia kuongea Van Gaal tu.

3...Mpaka sasa ndo timu inayoongoza kwa kupiga pasi za nyuma (back pass), wamepiga pasi 3149

4...Kuna game De Gea alipiga pasi 39 huku Rooney alipiga pasi 40

5... Yule wanaesema Henry mpya katika mechi 13 zilizopita amefunga goli 1 tu

6...Katika michezo 10 iliyopita Man U wamefunga magoli 7 tu huku timu yenye staika Giroud katika hiyo michezo 10 iliyopita imefunga magoli 20

7...Bado wanajiuliza kwa nini hawa wachezaji waliuzwa Rafael, Chicharito, Kagawa, Di Maria.

8...Ni timu ambayo ikiwa inaenda kushambulia wanaenda kama simba ila wakishaingia ndani ya boksi la adui wanageuka na kua paka.

9...Kuna kila dalili na msimu huu mashabiki wa Man U kurusha ndege tena pale OT, ngoja tusubili Wolfsburg hiyo j4.
 
Kama United atatolewa Champions league kwenye group stage na LVG akakosa ubingwa wa EPL/FA msimu huu sidhani kama atabaki

yani UTD ya LVG inajilinda mpka inawalinda na wapinzani.

.....huyu kocha hakutakiwa kupewa pesa kabisa za usajili

Mngebaki na kina ZAHA, JANUZAJ, WELBZ akiongeza na hawa watoto kina jesse, McNAIR wilson n.k neno "process" lingekuwa na maana sahihi......kwanza mngecheza vizuri zaidi
 

Nikupatie Castle baridiiii upoze machungu yako.......
 

Naona ume refer sana arsenal kuliko timu yako, rubaman kuna mtu ana mahaba na timu yenu huku

1? kwenye game yenu ya jana mlikua na on target moja, mliondoka na point ngapi? City alikua na on target nne, chelsea alikua nazo tano, unakumbuka point alizo ondoka nazo? Au kwenu huwa on target zinawaongezea point?

2? kloop jana alitumia dakika ngapi na mwisho wa Siku ilikuaje?

3? kuna sheria mpya ambayo hairuhusu back pass au side way pass? Kama ipo tuambiane, licha ya kuwasaidia wapinzani wetu kupeleka mashambulizi kwetu still tumeruhusu goli kumi so far, livapuli 18 ( EPL )

4? de gea sio mchezaji? Haruhusiwi kupiga mpira? Pia ni vema ungetaja mechi yenyewe ili ueleweke vizuri

5? firmino kacheza mechi tisa/nane za ligi ana goli ngapi?

6? katika mechi kumi zilizopita katika competition zote utd imechukua point 22 hyo arse8 imechukua 17, we endelea kuhesabu magoli

7? hao walikua wachezaji wetu ndio maana utakuta mashabiki wa utd wanajiuliza, huwezi ukamkuta shabiki wa livapuli, arse8 au Chelsea anajiuliza kuhusu wachezaji wa utd unless awe mamluki,

8? arse8 na city wana goal diff ya +14, utd tuna +10, liva ana +1, Chelsea ni special case, sasa inakuaje mnaoshambulia kama simba mna +1?

9? hyo jumanne nyie mnacheza na nani kumbe?
 
Last edited by a moderator:

Mzee wa kukop na kupaste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…