Unashauri nini kifanyike mkuu?Hii timu yetu sijui imekumbwa na balaa gani dah
Ila tupo nao pamoja tuu
Unashauri nini kifanyike mkuu?
Wacha wakaze hivyo hivyo angalau ila duh!!!! Mpaka macho yananiuma
Leo alieboronga mechi hii ni darmian
Full Time: Leicester 1 - Man Utd 1
Next Game vs West Ham
So far ball possession Leicester 31 Utd 69
Dah
Duh haya bw!!! Soon tutawakuta chelsea
Damian Rooney Young wameiuwa Man Utd.LVG anakazi sana na hii Timu tunashuka nafasi ya nne kesho
Duh haya bw!!! Soon tutawakuta chelsea
Ila mpira unatia hasira wajameni khaaa! Uefa hamna matumaini huku nako tunachechemea aaargh
Tukifikia stage ya Chelsea tutamuomba Rais wetu afanye ziara ya kushitukiza Old Trafford
Tukifikia stage ya Chelsea tutamuomba Rais wetu afanye ziara ya kushitukiza Old Trafford