.....mungu saidia man u amalize hatua ya makundi akiwa juu kabisa
.....akimaliza hatua ya makundi akiwa juu atakutana na mtu wa pili, mungu saidia na hatua ya mtoano man u apite ili akune na Barca ns Game itaanza pale OT
.....sehemu hii mungu mapenzi yako yatimizwe, man apigwe hata 7 pale OT, na saidia Barca wasiwe na majeruhi yoyote yale.
.....hiyo itakuwa ni siku ambayo nimejifunika shuka ktk kitanda huku nacheka tuu, kwa mbaaali nikikumbuka mambo ya Messi na Neymar hapo OT.
...... Mungu Ibariki Man U, Ibariki FC Barcelona!