usijaliTupeni updates bana huku wamekata umeme .... ...... ...... ....... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
From PSV fans-Get Well Soon Luke Shaw
roney siku iz hamn kitu asee
Duuuuhh hadi raha...mpira raha sana. No bifu hata kama sio team moj
Bora umekuja ulikuwa umejificha wapi? Tupe matokeo ya hiyo kona?
Mie sijajificha nipo tuu nakuangalia vile ukifungwa unavyonuna ha ha ha ha...
Mimi sipo live mkuu naangalia live score. Kumbe kulikuwa na kona..mie sijui nangoja alam man u 1-0
Wacha 1 ushakuja kufanya fujo..uckimbie lkn after 90 min