Vijana naona leo mmejaa hapa. Naomba msiwe mnaikimbia timu yenu pindi mfungwapo.
Vijana naona leo mmejaa hapa. Naomba msiwe mnaikimbia timu yenu pindi mfungwapo.
Naona soon utasema Everton ni Tawi la United.
ile game nakumbuka tuli relax sana baada ya kupata zile goli tukajua tumeshashinda, beki zilikua zinabutua butua tu, Neville ndio alijisahau kabisaa kama yupo uwanjani, ndani ya dakika za nyongeza tunaruhusu goli mbili, ilikua comeback moja nzuri sana kwa upande wa Everton, dogo pienaar na kipa wao Howard walikua kwenye kiwango kizuri sana bila kumsahau jagielka.
but nina imani Leo tunashinda 100%
Kwani ni siri? Tim Howard, Phil Neville, Gibson, Rooney, Moyes with coaching staffs na kuna wengine nimewasahau unaona relationship ilivyo.