Hujamuelewa alichomaanisha...ni hivi baada ya mechi za kufuzu za Euro mtakutana na Bayern katika CL basi hawa jamaa wawili watawafanya muanze kampeni zenu za Wenger out hope umeelewa sasaMuller na Lewandoski kuhamia Man Utd ni ndoto za saa saba mchana baada ya kushiba ugali na nguru. Hahahaha eti kipigo hakijakuuma...wewe ni mtu wa kuigwa kwa namna ya kujipa moyo katika wakati mgumu. Tukutane Old Trafford sijui next year. Wasalimie kina DonDonald, Belo, RRONDO, Bulldog, mfarisayo et la ambao hawajaonekana hapa tangu dakika ya 30 ya mechi
Van Girl is nothing., tumemkata mdomo et Martial mchezaji wa football hawez kuwa na jina la kike
Yaani wewe hustahili kuwa jukwaa hili...hivi huwezi kuchangia bila kutukana? Maana wewe posts zako karibu zote ni matusi tu.
Wewe jamaa wa wapi? 😡😡
Hivi nani ni moderator wa jukwaa hili amshughulikie huyu mamluki?
mmekaa juu ya msimamo kwa wiki moja tu ummeongeeea mtafikiri ndio mmeshabeba ubingwa!' manina.
herrera sio finally unaweza sema arsenal wako vizuri as simple as that sio kubeza kama mlivyo zoea. Man u ni wabovu mapaka waje kukaa sawa si leo we arsenal tuna enjoy not only the fact of having sanchez(turufu) but kipa mzuri peter Czech na players wanaoshika kasi kila kukicha kwa kudumu kikosini takribani miaka mitatu unaweza sema wamezoeana haswa so kwetu kurudi mchezoni haitupi shida ikiwa tuna Hector, concialyne,Paulista martesacker... Safu yetu ya ulinzi but kuna kitu nimeanza kukiona siku za karibuni arsenal wanacheza kama team kitu ambacho natoa shout out kubwa mnoo.... Ila man inamatatizo mengi kiasi mpaka itulie mjipange kwa haraka haraka winger kushoto hovyo, beki hovyo, foward iko makini sana sema striking force ndogo sababu kiungo pia haiko sawa afu kwa ujumla man u ya sasa imekosa kasi kabisa yani na inapotokea mtu kama mata akashindwa kuiforce kuingia means ngoma nzito.... Baadae nikaona amemuingiza Valencia ndio anakasi lakini maarifa hana nafikiri angekuingiza wewe ingesaidia mwisho kabisa man u nzima imekosa mtu wa ubunifu na kulazimisha kama carzola au sanchez pengine walcot au chamberlainMkuu hujaelewa vizuri post yake nahisi furaha imekuzidi sana hadi unashindwa kusoma post kwa ufasaha maana arsenal kuifunga man ni zaidi ya ubingwa. BTW hongereni sana.
Huyo martial unaemtukana kocha wako siku mbili zilizopita alikua analia kwamba walidanganywa na Monaco kwamba hauzwi, alafu inaonekana umeanza kuangalia mpira juzi wewe, asharvin, Olivier hayo majina ya kiume?
Jaman polee nilikuwa huku
Haha haha Enzo upo rafiki
nipo ndungu!' nashangaa kwanini jana FallaIn alimaliza mchezo!' .............. alistahili red card.
Man u wanamtindo wa kununua marefa ndugu usishangae
Acha propaganda wewe!!!! Kama ndo hivyo basi hata kufungwa ingekuwa ndoto BTW nunueni na nyie kama maisha rahisi kiasi hicho, Hongera naona BR out.......