Yaa haina haja ya kununiana sababu ya matokeo haya jamani
CC everlenk
Mende ni nyinyi mlonunua viungo lukuki mkashindwa namna ya kuwapanga...panic signings!Nasikia eti ni mambo ya mbadiliko...hili joto na mabadiliko limeenda hadi huko ulaya kwenye mpira...mourinho alimkata dr.,sasa timu inamfia mikonon...leo mende kabinua kabati
Leo ni siku gani wakuu?
Hahahaaaaaaaaaa
Hata mtoto Depay sio wakuanzaYaani ni bora Martial na Wilson wawe wanaanza kuliko Rooney aiseee...
Sijui nini kinamsibu huyu ndugu...pengine ndiyo jua limeshazama hivyo...
Hata siamini jamani
Yaani ni bora Martial na Wilson wawe wanaanza kuliko Rooney aiseee...
Sijui nini kinamsibu huyu ndugu...pengine ndiyo jua limeshazama hivyo...
Muhimu tufunge hata goli moja tu kuweka sawa goal difference
Sisi tumekubali hatuna ntantalinta nyingi kama kina fulani leo mkono wa Wenger umekuwa ni mzito kwetu full stop, haya karibuni tufunge turubai ,wapi Spika wapi Mic leo ni kigodoro tu mpka kunakuchaaaaaaaaa!!!!!! cute b Dj wetu tutatisha picha nzuri nzuri sawa Mae ni dundo mpka kunakucha na wasivyotupenda najua kigodoro hiki kitaenda wiki nzima.
Shida sio Darmian bali mediocre kocha wenu
Arsenal wana vijana na watu wa speed kama Coquellin,Carzola na Ozil LKN eti ndiyo wapambane na vikongwe wenu akina Swains na Carrick ambao wote ni 30 +
Muweke Herrea na Schne vijana hawa waruke na vijana wenzao!Miaka 3 ya LVG inisha hivi hivi Man U