Dada'ngu everlenk nakupa pole saaaaaaana, majeraha ya Jana hayajapona Leo tena kidonda kingine tena kikuuuubwaaa. Pole sana najua shosti wako cute b atakuwa anakuuguza.
Jumapili jioni mara nyingi tukicheza na Arsenal mambo huwa shaghabhaghala......Hongera kwao ingekuwa enzi zile zingerudi ila sasa muujiza utokee tu.......
Mpo kwenye denial stage,hamuamini kuwa Man U era is OVER na hata sisi Liverpool tulikuwa hatuamini kama nyie kwenye miaka ya 90's!Man U haji kuwa bingwa wa EPL labda miaka 10 toka sasa!