Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wolves kama utafuatilia historia vizuri wanawafunga man utd hapo molineux stadium kama Rio Ferdinand hachezi,utakumbuka Rio alipopewa adhabu ya kutokwenda kupimwa kama anatumia madawa ya kuongeza nguvu,man utd mechi ya kwanza kucheza bila yeye ni vs wolves wakalala 1-0 Paul Ince alikuwa wolves nadhani 2003,halafu miaka minne iliyopita wolves walimchapa man utd tena man utd akapoteza matumaini ya ubingwa Rio hakucheza hiyo mechi,then Norwich city wakawafunga man utd 2-0,halafu Chelsea akamfunga Man Utd 3-0 wakachukua ubingwa msimu wa pili mfululizo Chelsea 2006
 

Are u a real manure fan?,

Fact 1; SAF si Mungu akajua kuwa Carrick next season atakuwa off-form, the same applies to Anderson na Fletcher, sijaona ukimtaja Gibson ambaye msimu jana was good ila this season kawa kama Diaby wa Wenger, awful.


Fact 2; Evans, kwa game ya juzi alicheza kwa kiwango, lakini kabla ya kumlaumu yy, lets make it clear, kufungwa mabao mawili kwa set pieces ni uzembe kwa kila mtu, beki na viungo, hukuona goli la kwanza chanzo n Rafael?, anaenda kuzui kona huku jamaa kampa mgongo, for that case, Evans has got nothing to do with that pal.


Fact
3; Anderson mzuri katika kupiga penetration passes ila awful katika tackling, kwa game yenye physic kama ile hakuapaswa kuanza, ila kuingia later on.

Fact 4; Katika soka kuna kitu kinaitwa, winning ugly, unacheza vibaya lakini una deliver, wat u a missing ni kuwa, afterall, we need to credit partnership ya Rio na Vida, Evra na Rafa ambao kwa kiasi kikubwa wamekuwa solid msimu huu, hence, draw (kwa game ngumu) ndio maana zimekuwa nyingi huku maabo ya sisi kufungwa yakiwa machache zaidi.

Fact 5; All in all, this is soka chief, na wachezaji ni binadamu, huwez kuwa kila siku ukawa unashinda (kuwa ktk fomu), kwaio matokeo kama hayo ni kawaida sana tu. Unakumbuka season ya kwanza (au pili), kama sikosei, Chelsea ya Mourhno ilichapwa Tatu kwa bila na Sunderland (kama sikosei) kipindi wakiwa fomu mbaya?, hii ndio soka.

Shetani wa ukweli hakati tamaa kama Goonaz Fans. Put ur head up towards clinching the 19 title.
 
Manda, Ngongo, Eqlypz ... ..... mmefufuka sasa baada ya kipigo. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Manda, Ngongo, Eqlypz ... ..... mmefufuka sasa baada ya kipigo. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha one wacha waone wenyewe.Usimcheke mamba kabla hujavuka mto maji mwana wane. (15:00 GMT Arsenal v Wolverhampton Wanderers :Emirates Stadium) angalia usije ukapotea kichakani jmosi, ukumbuke gobole lilishindwa kufyatuka kupiga ile kopo ya castle. Fanya check up njomba mapemaa huenda limeisha anza kuwa bovu.Na ile mambo ya jumatano iko maneno (19:45 GMT Arsenal v Barcelona).Nakuonea huruma.
 

The name is Giro from where nobody knows .. ... unknown at jukwaa la Manure or Sports at JF. Mkuu angalau unaonyesha unamwogopa nani Wolves waliwatoa kamasi labda nikukumbushe tuliwachapa Wolves nyumbani kwao na weekend hii tunawakaribisha Emirates ... ..go figure it out .... .... ..Tuliwachapa Man City nyumbani kwao nyie waliwatoa kamasi ndio chababu unachechemea .. ... .. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee record yetu tuliyoweka hamuwezi kuifikia kwenda msimu mzima bila kufungwa kumbuka maneno ya prof. .... .....


BTW nafahamu wewe ni mtu wa hirizi kutoka kwa Yahaya chacha njomba tupe matokeo kutoka kwenye mkeka wa mechi hizi nne za Manure .... .... maana naona unawashwa sana na pilipili iliyoko Emirates zaidi ya Old trafford.

12th Feb : Mancs v Manure

26th Feb: Wigan v Manure

1st March: Chelsick v Manure

6th March: Loser fools v Manure

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeee


 
ha ha ha!, Bundi anataka mchezo? ha ha ha!...msiba umetimia, ni matanga siku saba mpaka wikiendi ijayo.
Bundi anasaidiwa na kigong'ota (woodpecker) kuzamisha jahazi la Chelsea.



Safi sana Wolves waliwapangia timu mchekeo Old Trafford khe khe kheeeeeeeeeee
 
Wewe ni shabiki wa mpira tu wacha waone wenyewe.Nakusubiri nikuone unavyopotea kichakani jmosi.Fanya check up ya kobole lako njomba nahisi limeanza kupata kutu au ile kitu masase imekwisha.Jumatano iko mambo mtapoteana,ile toto messi/villa sijui iko nani kaba wao.
 
We are rich b*+@h.....

Deloitte Money League
1 (1) Real Madrid - €438.6m
2 (2) FC Barcelona - €398.1m
3 (3) Manchester United - €349.8m
 
Manda, Ngongo, Eqlypz ... ..... mmefufuka sasa baada ya kipigo. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee

Heshima kwako Wacha1,

Ipo tofauti kubwa baina ya wanazi wa Manutd na wewe,tukifungwa hatuna visingizio tunakubali bila kumtupia lawama refa au bla blah
 
We are rich b*+@h.....

Deloitte Money League
1 (1) Real Madrid - €438.6m
2 (2) FC Barcelona - €398.1m
3 (3) Manchester United - €349.8m


Mkuu Eqlypz,

Vipi mbona siwaoni vijana wa Mr Bean hapa labda tumulize wacha 1 anaweza kutusaidia.
 
We are rich b*+@h.....

Deloitte Money League
1 (1) Real Madrid - €438.6m
2 (2) FC Barcelona - €398.1m
3 (3) Manchester United - €349.8m






Tusingekuwa tunashuhudia haya majamboz ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee



Heshima kwako Wacha1,

Ipo tofauti kubwa baina ya wanazi wa Manutd na wewe,tukifungwa hatuna visingizio tunakubali bila kumtupia lawama refa au bla blah

Yes sir, I agree with you. When you dish out brown envelopes you need to accept any decision. Khe khe kheeeeeeeeeeee




Mkuu Eqlypz,

Vipi mbona siwaoni vijana wa Mr Bean hapa labda tumulize wacha 1 anaweza kutusaidia.

What language do you speak! Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

 

CROCKED ... Rio Ferdinand

[FONT=impact!important]Rio 'n Evans out of derby clash[/FONT]

[FONT=impact!important]Nasikia Chelsick wameomba mechi yao ichezwe haraka wakati wa majeruhi khe kheeeeeeeeeeeee [/FONT]
 

CROCKED ... Rio Ferdinand

[FONT=impact!important]Rio 'n Evans out of derby clash[/FONT]

[FONT=impact!important]Nasikia Chelsick wameomba mechi yao ichezwe haraka wakati wa majeruhi khe kheeeeeeeeeeeee [/FONT]
Umekosea ni.. Fat Arses hao.
 


Nakumbuka mwaka jana wakati ligi inakaribia kwisha washabiki washibiki wa Fat Arse mlipiga sana domo kwamba Chelsea itachemsha kwa sababu mechi zetu zilikuwa "ngumu" wakati zenu Arsenil zilikuwa "rahisi", everybody knows what happened. Naona mmeanza tena kusema kwamba Manure wana mechi "ngumu" kuliko ninyi, kwanini vichwa vyenu vigumu sana kujifunza na vyepesi kusahau?!!
 

Ndiyo Chelsick mtachukua ubingwa kutokana na umafioso wenu wa kuwatetemesha waamuzi na kutoa mpunga. We have got one Peasant who cries like a baby, please bring some milk for him. Chelsick must win whatever the case. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
wacha 1, sitaki kuamini kuwa wewe ni mpenzi wa kweli wa mpira,maana hauujui huo mpira,yaani wafikia stage kujitapa tapa na kusifia kuwa man utd,haiwezi fikia record yenu ya kutofungwa sijui whole season?dats wat has been makin u so proud for the last i don know hw many yrs?hebu chukua in de last 10 yrs,idadi ya epl titles mmechukua, halafu zidisha mara idadi ya makombe mmechukua in fa n champs league ka mtakua mmefikia jus de number of cups man utd imechukua in champs league leave along epl
 



"Man U... Red Devils Hatushikiki"



...poleni sana wakuu!


Is that fact not enough? Khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…