Ferguson alikuwa master wa kupanga wachezaji kutokana na aina ya mechi nakumbuka kina Chicharito,Park Ji Sung,Wes Brown.Depay,Fellaini na Bastian hawa wanapaswa kupewa priority game za UEFA while Young,Martial,Mata,Schneidelein game za EPL
Asante mkuu na wew hongera kw saree
Thx sn... Miss sn wewe mtoto yerewiiii
Mkuu tatizo hao WC striker siku hizi wako wachache sana (Aguero,Benzema,Suarez,Lewandoski) wakati wa usajili Man United walipeleka offer paundi mil 65 kwa Muller but Bayern wakagoma.Cha msingi ni viungo kusaidia kufunga magoli (Mata,Depay,Hererra) hawa ni viungo wazuri sana kufunga kila mmoja akifunga at least magoli 12 tutakuwa mbali
huyu vipi?
huyu vipi?[/QUOTE]
Mshabiki wa Ukweli
Mpira mbovu kbsa mnacheza na kupata matokeo ya kubaatisha mnajisifia wenyewe poor Manchester
huyu vipi?[/QUOTE]
Pateni na nyie hayo ya kubahatisha, ili muongoze ligi
Sisi tunapenda mpira wa haki sio kununua marefa na kuwaadaa marefa kama nyie poor Manchester support
asante kwa kuleta hii chart angalao chelbus wajione walipo