Washika bunduki wataongea leo......
</p>Tumetoa draw 4-4 dhidi ya N'castle...poor refereeing imetucost...Ila hii ya scholes kutaka kufungia mikono ni kali zaidi.....Au ndo Ushindi Lazima????
Jamaa watasumbua sana leo!
Aya waungwana tunekubali kichapo, kweli soka is an unpredictable game. Naona kesho England watafanya sherehe manure kufungwa. Alamsiki.
Hakuna TENA HABARI YA INVISIBLES................................Poleni watani....nilidhani ntaumia na 4-4....Sasa bado mna game mbili na Chelsea...Yaani hili gari la Kichapo ndo LIMEWAKA na Mbele ni mtelemko............HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

Invisible Man Utd!
Mazee stop crying like a little girl on her first day ......! Mpira tu huo wala si refarii
ha ha ha,...Bundi kahamia Old Trafford leo....
MKuu hold on! MBona hujafurahia matokeo ya 4-4! ila ya Man 1 Wolves 2 yanakupa raha?