Manchester United (Red Devils) | Special Thread

teeeehe teeehe ndiyo umestuka saa hivi Tractor boys hawawaachi kabisa
Mtani tunachomoka amini usiamini.


Hata mfie uwanjani lazima mpigwe tu na majeruhi yanavyo waandama hakuna namna mpigwe tu
Mtani hapa ni kazi tu kama mzee wa tingatinga na ni wakati wa mabadiliko si kama msimu uliopita, haka ka Kombe mbuzi tunakachukua mikononi mwa Chelshitty. ...
All the best mtani (kinafki lakini) 😀😀😀
Hahahahah mtani hata kama ni kinafiki zimeshafika huna namna nyingine zaidi ya kuniombea tu mwanareds mwenzako,niombee tu maana wewe hutafika kokote huna jinsi zaidi ya kunitakia heri tu.....✌✌✌✌
 

Sidhani kama tuna ufinyu wa kikosi especial kwenye defence labda stiker
Right back-Darmian,Valencia
Left back-Shaw,Rojo
Centre back-Blind,Smalling,McNair,Jones

Pia Darmian,Rojo,Blind,Jones,McNair hawa wanaweza kucheza nafasi zaidi ya moja,tuombe tusipate majeruhi kama ilivyokuwa msimu uliopita
 

mkuu rojo shaw na mc nair wote majeruhi, ukiambiwa upange back four utapangaje? alafu ujue kuna mashindano ya uefa na mechi ngumu ukiachana na Sunderland tuna arsenal, Everton man city na c palace, so lazima tuchukue tahadhari ya majeruhi kutokea. but hayo in mawazo yangu tu.
 

mkuu rojo shaw na mc nair wote majeruhi, ukiambiwa upange back four utapangaje? alafu ujue kuna mashindano ya uefa na mechi ngumu ukiachana na Sunderland tuna arsenal, Everton man city na c palace, so lazima tuchukue tahadhari ya majeruhi kutokea. but hayo ni mawazo yangu tu.
 

Nakuunga mkono na mguu ,tahadhali lazima izingatiwe sana hizo ni mechi za EPL tu bado hayo makombe mengine mhhh!!! Job true true pepo la Majeruhi tokaaaaaa!!!!!!
 

Majeruhi ya Rojo na McNair sio ya muda mrefu siku zote LVG huwa anasubiri mchezaji apone kabisa ndio acheze.Darmian anaweza kucheza kushoto na kulia vizuri (Valencia-Blind-Smalling-Darmian) Jones na Young wanakuwa sub
Squad depth ni kuwa na wachezaji 2 kila position + Versatile players who can play different position (Jones,Blind,Darmian,Rojo). Ni ngumu kuwa na wachezaji zaidi ya 2 kwenye nafasi moja angalia Madrid,Arsenal,Bayern,Barca,Juventus
 
Sir Alex Ferguson: "When I look at my name on the stand that's opposite my seat at Old Trafford, I wonder if I deserve that recognition."

 
Jamani BBC wakorofiii!!!! Mumuache Rooney wetu ana hatrick yake ....lol
 

Attachments

  • 1443022499960.jpg
    38 KB · Views: 122
mkuu hii ishu imezua mijadala mingi kwa wachambuzi wa soka kuhusu uhalali Wa cantona kuwa WC na kuwaacha watu kama vidic, starm, Beckham, Schmeichel, VDS, na Kean, watu wanahoji mzee katumia vigezo gani.

Nadhani kila kocha ana vitu vyake anaviona kwenye kuchagua mchezaji bora wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…