tukutane hapa tena mida ya mechi
Hapana mkuu nitarudi hapa baada ya dakika 90+ maana wakati wa mechi nitakua busy kumuona Wanyama
Wale msimu uliopita OT walikufunga.....na leo huna chako....
PSV defender Hector Moreno injures
another player in Dutch league after Luke
Shaw leg break, huyu jamaa ana matatzo gani huyu? dah,
Muhimu ushindi leo tunatoka salama we are the United....
huyu jamaa ana nini tena?