Tukishinda itakuwa poa sana
Red: Cute b anajua kuhusu suala hilo lol
Beki imepwaya.
Hayaaaa mrs Martial
Mrs Depay cute b njoooo mumy.......
unamuona martialHuyu jamaa uchezaji wake wa ovyo sana,
Sina nuksi tunashinda.
Tukishinda itakuwa poa sana
Red: Cute b anajua kuhusu suala hilo lol
Deepay anabidi akakuze kipaji reserve team.
Labda mshinde njaa, mnafikiri kushinda ni makalio.
Hii tactical change ya kumtoa Martial na kumwingiza Antonio haiingii akilini 
Una moyo mgumu sana
Angalia kipindi cha pili hicho halafu urudie kusoma ulichokiandika hapo juu
Labda mshinde njaa, mnafikiri ushindi ni makalio.