Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na hii ndiyo Man Utd ya LVG,

Van gaal tatzo mkuu, kuna mambo anafanya simuelewi, sub ya fellain uliielewa? Bora angemtoa mata then fella ndio acheze 10, Holding mid wetu wote wawili kukaa nje, kumtoa young na kumuingiza Valencia wakati darmian ndio alikua tatzo, baadaye rojo kaenda katikati na blind pembeni hapo ndio aliharibu kabisaaa.
Any way
We are officially back on champions league and we are here to stay.
#GGMU

Get well soon shaw
 

Get well very soon Shaw
 
Last edited by a moderator:
Mkuu herrera hata mimi nilitegemea Amtoe Darmian Aingie Valencia... Goli zote mbili zimepitia kwake
Blind kwenda pembeni ingekuwa poaw kama Young Angekuwa anacheza kushoto na Big fella angekuwa numba 10. Bahati mbaya kipindi Rojo anaingia Young alikuwa kulia Fella hakuwepo, kipindi cha pili ndio alikwenda kushoto na Memphis kulia na Fella kati,
Rojo sio mbaya akicheza LCB....ni beki mzuri hata ukicheki jinsi anavyofanya marking,tackling yuko vzri msimu uliopita ameonyesha haya ila kumuweka bench ni kumuharibia consistency yake na partnership nzuri inayoonyeshwa msimu huu ya Blind na Smalling haikutakiwa kuvunjwa kwa game ile
 
Last edited by a moderator:
Kwa mood ya jana ya wachezaji baada ya kuumia Luke Shaw kupoteza game hainiumi sana kama injury ya huyu dogo

Aliponizingua LVG ni ujinga wake wa kumuweka Rojo kati na kumpeleka Blind pembeni

Hapa huyu mzee alitumia akili za Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo
 
Man utd ilianza kufunga vs swansea tukafungwa, sasa hivi vs psv tumeanza kufunga mechi tumepoteza....kwa Sir alex rekodi hii ya kutangulia kufunga then unafungwa unaweza kukaa misimu miwili ndio uisikie!!! Fisrt goal is crucial but for LVG's man utd it doesnt matter!!
 

mimi mgombea jimbo la mtama
 

Kwani Bastian hakucheza jana ?
 
match ya jana nilibanwa na pumzi za hasira sikuweza kuiangalia mpaka mwisho dah aisee japo kocha kabla ya match alisema inamuwia vigumu sana kushinda pale nyumbani kwa psv. Nafsi yangu mpaka sasa bado inauma sana
 

LVG can be a piece of shit sometimes, he sold all strikers with no new experienced striker as a replacement then he comes up with his crappy confession that Manchester Utd can't win an EPL title this season. The more annoying part of him is when he makes his subs, taking out the wrong the players and bringing in the wrong players, you may think LVG have got no ambition to win anything now and in the future.
 
Kwani Bastian hakucheza jana ?

Mkuu basti yule sio DM kipindi anacheza Bayern mwanzoni alikua ni winger van gaal kambadilisha kuwa mid lakini sio deep lying mid bali ni box to box mid mwenye uwezo wa kupanda mbele kutoa pasi hata za mwisho tofauti na deep holding mid kama Carrick au Morgan wenyewe kazi kubwa ni kuharibu mipango pale kati kati, jaribu kukumbuka ile mechi utaona Mara nyingi wenyewe wakipata mpira ilikua ni rahisi sana kufika golini kwetu, much respect kwa smalling alifanya kazi kubwa sana ya kusaidiana na bast,
 

Typical wank tactics from Van Gaal.
Takes Herrera off and leaves on his love
child in Juan 'Tortoise' Mata. Then he
brings Valencia on. Lmfao. Sells
Hernandez, Van Persie and Di Maria...
leaves us with Valencia as our only
attacking option on the bench.
 

Kama kawaida wazee wa kuposesi mpira lkn points 3 hola.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…