Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mwaka huu mnachuku ndoo tatu msiwe na wasiwasi wazee wa preseason
 
Mmefungwa na katoto fulani hivi,kanaitwa Swansea city!!
 

Attachments

  • 1440959975120.jpg
    25.7 KB · Views: 110

Hahahahahahahaha!!!

Hii mi-team inazingua sana Aisee..

Pole lakini..
 
View attachment 282185

Kwa hii fixture na striker tulio nao naona kabisa Man Utd tutasumbuka sana kutoboa.
Mkuu mie.tangu pre season sina Imani kabisa na Wazza....
Na nilipoona hiyo features na Jinsi tunavyocheza Kumaliza hapo wakwanza ni ngumu hata hiyobya pili itakuwa Kombolela....
Hii timu huyu mzee sijui anaijenga vp...?
Mwaka jana Backline ilikuwa uchochoro na katikati akiumia Carrick basi shida
Msimu huu:
Final third hakuna Creativity....watu wanaishia kupiga pasi na muda mwingi mpira unachezwa kati...
 

One of your best comment in this thread-Salute bro
 
Na me nasema mpigwe tu maana hakuna namna. Umeambiwa usifanya fujo we unafanya na mpigweeee tuuu.
 
Mkuu acha.....Umeandika vitu....Tunasema ligi bado mbichi wakati Man city anajizolea mapoint na GD nzuri...
 
Kama hawapo vile


G - go

G - goo

M - miz

U - utuacheeee
Jaama anakigugumiz kataamka hivyo 👆

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…