Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Kweli kila kocha na hobby zake. Enzi za Ferguson team yetu ilikuwa kama baunsa. Mbele ilikuwa vizuri sana ila beki ya kuokota.
Sasa hivi defence ipo vizuri ila mbele pa kuungaunga.
 
1st hakuna striker wa kutisha, kwa hiyo team inacheza vizuri lakni magoli hakuna!
 
2nd beki mzoefu wa kati ili kupunguza mashambuli kwa kipa,maaana timu inacheza vizuri katikati excellent passes,accuracy juu, possession % za kutosha, lakni striker mkali wa kumalizia hakuna, ikipingwa counter attack pressure juu beki hajakomaaa
 
Mara nyingi beki wa kati wanatakiwa wawe watu waliokomaa na wazoefu wa mechi nyingi,au hata ligi flani. Kuliko kujacha watoto 22 -24 years old kwenye beki huu ni utani kwa striker wa timu pinzani
 
Hii maneno nilisema Neymar anatafuta mkataba mnono kwa kutumia Manchester United.Ribeiro denies Neymar transfer to United - MARCA.com (English version)



Hili deal ni kwamba halijawahi kufikiriwa na Manchester United.
Ni magazeti yanatafuta kuuza kwa kutumia jina la Manchester United.
 
Kweli kila kocha na hobby zake. Enzi za Ferguson team yetu ilikuwa kama baunsa. Mbele ilikuwa vizuri sana ila beki ya kuokota.
Sasa hivi defence ipo vizuri ila mbele pa kuungaunga.
Squad ya Babu Fargie ilikuwa na shida mmoja tu nao ni katikati baada ya Roy16 kustafu midfielder yake haikutokea kuwa bora kama yakina Roy16 nick Butt scholes... Beki ya Babu ilikuwa ahueni kuanzia enzi hizo wakina Stam....Rio.....Vidic....Silvester....Brown....John Oshea...
 

Hao wanatutosha mbona tulikuwa na babu fegie na mambo yalikwenda. Cha maana beki iwe nzuri na kati pawe poa mpira uchezwe kwao tuu lazima magoli yapatikane. Tutashinda.
 
are you sure manchester utd ina defence nzuri. ngoja akutane na timu yenye hitmen wazur kama manchester city, utafuta kauli yako na kuanza kumlilia kocha wako atafute mabeki wazuri! its too early kuconclude kuwa man utd ina outstanding defenders; the likes of darmian? smalling? jones? bracket? shaw? you must be kidding me! kubali kuwa mmekutana na timu ambazo hazina attacking potency......
 

gemu yenu dhid ya liverpool hapo september itathibitisha kauli yangu. Coutinho will surely take your entire pack of mediocre defenders to school! mark my word!
 

Nimemuona Roy Keane msimu wa mwisho kabisa. Sijamuona akicheza. Ila hawa managers hawaoni upungufu kama mashabiki tunavyoona?
 
huwa nafurahi pale ninapoona wakaanga sumu mnazijua ratiba za mechi yetu kuliko muijuavo timu yenu.

karoho kanakudunda eeeh?!' safari yenu ndio inaishia hapo, ubeligiji hamna own goals ............

Club brugge2 Vs Manure0
 
Nimemuona Roy Keane msimu wa mwisho kabisa. Sijamuona akicheza. Ila hawa managers hawaoni upungufu kama mashabiki tunavyoona?
Manager kama manager ana philosophy zake yeye ndie nwenye maamuzi ya mwisho katika upangaji wa timu na type ya wachezaji anaowataka kulingana na mfumo wake anaoutumia
Mapungufu tuyaonayo sisi hata wao pia huyaona ila sema wanakuwa na plan zao zitakazosolve hayo mapungufu...ila sema sie fan huwa hatuna uvumilivu tunahitaji kuona mabadiliko ya haraka kitu ambacho sio rahisi kutokea kwa mpira wa sasa
 
gemu yenu dhid ya liverpool hapo september itathibitisha kauli yangu. Coutinho will surely take your entire pack of mediocre defenders to school! mark my word!
orangutan ni ID mbili tofauti ama?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…