Jamaa anaweza kucheza kama striker vile vilePedro ni winger tatizo la Man ni stricker.
Transfer imewawia ngumu kiaina Pedro na Otamendi mnaosadikika mliwataka wamekimbilia kwa rival teams.LVG atakuwa ni tatizo
Transfer imewawia ngumu kiaina Pedro na Otamendi mnaosadikika mliwataka wamekimbilia kwa rival teams.LVG atakuwa ni tatizo
Mheshimiwa rubaman ebu nisaidie Otamendi atacheza nafasi ya nani ?.Smailling yupo pouwa.Pedro anaweza kumweka banch Depay,Mata au Young.Man haisajili mchezaji mradi kusajili Pedro na Otamedi hawana nafasi katika kikosi cha Man labda wasubiri majeruhi.
Hiki ni kipindi cha usajili barani Ulaya,Asia,Marekani na Africa na pengine kila kona ambako soka linachezwa.Furaha kubwa kwa mashabiki wa soka huwa ni kusikia klabu yao imesajili mchezaji mpya ama yule wanayemchukia akitimka zake na kujiunga na klabu jinjine lakini linapokuja swala la klabu yao waipenda kutangaza kuwa imeeachana na mpango/imeshuindwa kumsajili nyota waliyekuwa na matumaini nae habari huwa ni tofauti sana.
Ifuatayo ni orodha ndefu ya nyota ambao bosi wa Man United bwana Ed Woodward alijaribu kutaka kuwasajili lakini mwisho wa siku akaiishiwa kuambulia maumivu ndani ya moyo wake baada ya ama kuzidiwa kete na vilabu vingine ama kushindwa kutoa pesa ya kutosha kuwashawishi nyota hao pamoja na vilabu vyao
Leighton Baines (Summer 2013)
Gareth Bale (Summer 2013)
Cesc Fabregas (Summer 2013)
Thiago Alcantara (Summer 2013)
Mats Hummels (Summer 2014)
Toni Kroos (Summer 2014)
Nicolas Otamendi (Summer 2015)
Sergio Ramos (Summer 2015)
LETS ALL LAUGH AT MAN U😀😀😀
kuna timu kila msimu inasajili wachezaji zaidi ya sita ila mafanikio "F" inaitwa loserpool. man united kumkosa pedro watu wanachonga sana
Sio kumkosa Pedro tu, ManUnited kuwasajili Depay, Morgan, Darmian, Shaw, Mata, Herera wao kwao ni kupiga kelele tu wanabadilisha maneno tu
Angecheza CB next to Smalling, Blind si natural CB anatakiwa acheze MD
Angecheza CB next to Smalling, Blind si natural CB anatakiwa acheze MD
Kwa upande mmoja ujio wa PEDRO OT ungesaidia sana kwa upande wa mashambulizi , ana speed , nguvu kidogo na pia , ana uwezo wa kutengeneza nafasi na pia kufunga mwenyewe pia musisahau ni mchezaji mzoefu , hii huduma mmeikosa
Kwa upande wa pili kutokuja kwake ni faida kwa Vijana wenu wadogo mazao ya academy yenu
James
Adnan
Perreira
Nafasi wanazocheza hawa watoto Pedro nae anacheza , Kwa tabia ya LVG hata CM angechezeshwa pia , so its good news kwa hawa watoto na Manchester United yenu
kuna timu kila msimu inasajili wachezaji zaidi ya sita ila mafanikio "F" inaitwa loserpool. man united kumkosa pedro watu wanachonga sana
Mkuu umeanza kumfuatilia lini Van Gaal? Nimecheka sana hiyo kauli yako kuwa ni wachezaji wachache sana ndiyo wanaweza kufanya kazi na Van Gaal, hii sijui umeitoa wapi.
Van Gaal, ni mmoja wa makocha bora na wakubwa duniani labda uwe umeanza kumfuatilia baada ya kujiunga na Manchester United.
Ngoja nikupe kiduchu makocha waliopita kwenye mikono yake kama mwalimu, sijui kama uliwaona wakati wanacheza mpira, Guardiola,Luis Enrique, Philip Cocu, Overmars, De Boer wote wawili, Ronaldo Koemen, achilia mbali Mourinho, Rivaldo, Kluivert, Mendieta, Luca Ton, Puyol, Figo.
Vaa Gaal, kafundisha mechi zaidi ya 700.
Takujazia list ya wachezaji waliofanya nao kazi na wanaotaka kufanya nao kazi tutajaza server hapa.
Gundogan, clyne, pedro, ramos, otamendi, firmino etc...
Gundogan, Hummels, clyne, pedro, ramos, otamendi, firmino etc...