Unanipa Msamiati juu ya msamiati.......wewe tupe anuani tutafika hata kama kwa kuulizia .....Google for sky sport football
Unanipa Msamiati juu ya msamiati.......wewe tupe anuani tutafika hata kama kwa kuulizia .....
I once told you I'm rockin with the best....(eg Arsenal) yote ofu any way for good sake of yo well being n mindset cheki hiyo link http://www.skysports.com/football/n...ter-rivals-to-signing-of-barcelona-star-pedro
Kuna tetesi zisizothibitishwa kuwa Valdes alimshauri Pedro asijiunge na Manchester United. Hahahahaha Valdes bado yupo katika payrolls za Manchester United afu anawaunguzia picha mabosi wake. Kuna kitu kinachoendelea nyuma ya pazia la Manchester United, tusubiri tuone litakalotokea.
Pedro ni winger tatizo la Man ni stricker.
Thibitisha kwamba maboss wanabana.......source??Man utd fans, wanatakiwa wakubali kuwa, transfer window ya safari hii imekuwa mbaya sana, kila rival clubs zinapoingia kwenye race ya kumsign mchezaji anayetakiwa na united, suddenly kisingizio cha "kudrop interest" kinakuja, refer Clyne, Firmino, Otamendi and Pedro...one thing for sure ni kwamba Maboss (wamarekani) watakuwa wanabana kwenye wages sahiv..ndo maana deals nying zinafail, na kingine ni LVG factor...
Wachezaji wachache sana ndo wataweza kufanya kazi na LVG..summer hii ishakuwa ngumu kwao, power yao katika transfer market imepungua saaaaana, summer hii mchezaji anaenda Man utd kama hana options nyingine, au hakuna clubs nyingine ambazo zinahitaji huduma ya mchezaji huyo kwa dhati...(Darmian, Bastian, morgan)..
Ameshusha thamani ya mpira bila sababu...stats za morgan epl last season hazjui...za darmian hazjui hata mechi walizocheza msimu huu hajaona...poor analysis in footballKumbee!!! Ings,Firmino,Benteke are better than them?.......acha kupotosha bana unajua mamilioni wanasoma hapa halafu itakuwa ni ukumbusho .........
Mkuu umeanza kumfuatilia lini Van Gaal? Nimecheka sana hiyo kauli yako kuwa ni wachezaji wachache sana ndiyo wanaweza kufanya kazi na Van Gaal, hii sijui umeitoa wapi.Wachezaji wachache sana ndo wataweza kufanya kazi na LVG..summer hii ishakuwa ngumu kwao, power yao katika transfer market imepungua saaaaana, summer hii mchezaji anaenda Man utd kama hana options nyingine, au hakuna clubs nyingine ambazo zinahitaji huduma ya mchezaji huyo kwa dhati...(Darmian, Bastian, morgan)..
Mkuu umeanza kufuatilia lini Van Gaal? Nimecheka sana hiyo kauli yako kuwa ni wachezaji wachache sana ndiyo wanaweza kufanya kazi na Van Gaal, hii sijui umeitoa wapi.
Van Gaal, ni mmoja wa makocha bora na wakubwa duniani labda uwe umeanza kumfuatilia baada ya kujiunga na Manchester United.
Ngoja nikupe kiduchu makocha waliopita kwenye mikono yake kama mwalimu, sijui kama uliwaona wakati wanacheza mpira, Guardiola,Luis Enrique, Philip Cocu, Overmars, De Boer wote wawili, Ronaldo Koemen, achilia mbali Mourinho, Rivaldo, Kluivert, Mendieta, Luca Ton, Puyol, Figo.
Vaa Gaal, kafundisha mechi zaidi ya 700.
Takujazia list ya wachezaji waliofanya nao kazi na wanaotaka kufanya nao kazi tujaza server hapa.
Tena mimi nimefurahi tu ambavyo hajaja maana angeweza kuja kuwa Flop.......Njaa kubwa sasa ya Usajili ni striker na CB only tukifanikisha hili itakuwa poa sana.
Teh teh teh!!!mkuu asikupe shida huyo....yuko obssessed na man utd, mshabiki wa looserfools lakini siku nzima anashinda twitter/fb kusoma updates za man utd!!!! kama si mgonjwa ni nini???!!!
View attachment 278506
Thidhitaki mbichi hidhiiii......! Haaa haaa ila wanaonipa raha ni wale wanaosema "mchezaji asipohusishwa na Man Utd hanunuliwa" nyambafuuuuu ili dirisha wote waliosajiliwa walihusishwa na Utd?