Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1439956992.512964.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Dogo mzuri ila namuona kama mchoyo wa pasi kwa wenzake

He reminds me so much of Christiano Ronaldo,He used to be selfish in his early days at United,it took Ferguson to mould Ronaldo into the type of a player he is today. Wonder if Louis Van Gaal will do the same to Depay, to make him less selfish and more of a team player.
 
Naombea siku moja Herera aanze pale kati yeye na Morgan Schneiderlin utakapoona team inavyoflown.

Pale kati kama DM ama? Mimi sidhani kwa sasa Herrera anapaswa kutumika kama DM wakati kuna DMs kama Bastian, Carrick, Morgan na hata Daley. Ander anapaswa kucheza kama AM, kwani yeye ni mpira wake ni wenye mlengo wa kushambulia zaidi.

Haya ni mawazo yangu tu. Hayamaanishi mawazo yako siyo sahihi.

It was just against a belgian pub side bro..

Sawa bro.
 
Naona wachezaji wa ligi ya mchangani wameonesha uzoefu wao. Hongereni kwa ushindi wa 4-0 naona ubao umekosea tu, hapa ndipo naamini sometimes results are fake (in Mou voice)

Btw: hongereni kwa ushindi

cc; everlenk
 
Last edited by a moderator:

Asante sana mtani, jana ndo niliona maumivu ya kutoa,nilikuwa nafurahi tu kupewa, lakini ashukuriwe shemeji Depay alinirudishia furaha yangu zaid na big Fella akaikamilisha,Asante kwa dua yako ilifanya kazi.
 
Fellain zile nywele zinasaidiaa ujue hahahaaaa....
Juzi sisi tulivyopewa nilifurahi but kwetu duuuhhhh inaniuma mpaka now...
 
Hahahaha!!!! Mummy acha tu free g inauma sanaaaaaa.......

Hahahaaaaaa free g haina tofauti na free p kwa maumivu yakeeee hagagagagaaaa...
Mamy watu wana wivu maara ooohh tumecheza na watu walio pungufu mara sijui nini yaani hawatakagi kutupongeza sijui kwa nn
 
Pale kati kama DM ama? Mimi sidhani kwa sasa Herrera anapaswa kutumika kama DM wakati kuna DMs kama Bastian, Carrick, Morgan na hata Daley. Ander anapaswa kucheza kama AM, kwani yeye ni mpira wake ni wenye mlengo wa kushambulia zaidi.

Haya ni mawazo yangu tu. Hayamaanishi mawazo yako siyo sahihi.

Sawa bro.

huyu jamaa ananishangaza sana, amesahau kwamba kwenye Europe league mwaka jana alitolewa na besiktas hatua ya 32 then huyo m-babe wake (besiktas) akaenda kukutana na huyu huyu brugge akachezea 2-1 nyumbani alafu kaenda kuchezea 3-1 ugenini, m-babe wake huyo akatolewa kwa aggregate ya 5-2,
club brugge ilifika robo fainali ya Europe league wakati looserfool aliishia kwenye 32 huko. leo hii anajifanya kui-underrate.
 
Hahahaaaaaa free g haina tofauti na free p kwa maumivu yakeeee hagagagagaaaa...
Mamy watu wana wivu maara ooohh tumecheza na watu walio pungufu mara sijui nini yaani hawatakagi kutupongeza sijui kwa nn

Hahhahaha!!! #wasagasumu na #timu mburukenge Wacha wabadilishe maneno Yao tu na mwaka huu watatabiri sana... ...Tutajipongeza na kujipa raha wenyewe halafu sijatia timu kitaani Ngoja nifanye yangu nitakuja hapo kukupick twenzetu tukaharibu na nafsi zitulie hehehehheheheh leo kapepsi au kanini utakunywa? Halafu miye mtoto wa Yesu ujue tunywe kapepsi show likamilike....lol
 
Hahahaaaaaa free g haina tofauti na free p kwa maumivu yakeeee hagagagagaaaa...
Mamy watu wana wivu maara ooohh tumecheza na watu walio pungufu mara sijui nini yaani hawatakagi kutupongeza sijui kwa nn
Husda zao tu... kawaida mti wenye matunda ndio............?
 
Back
Top Bottom