Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaah! Ths is UNITED
 

Attachments

  • 1439935122298.jpg
    1439935122298.jpg
    13.9 KB · Views: 128
kuhusu huyu jamaa nampa credit sana van gaal jamaa ka-improve sana.
kuhusu darmian seriously tuliwaibia torino, haikua bei yake halisi.
ameiprove sana smalling toka afanye ile mistake game na man city. thanks kwa LVG sa hivi tunamsifia smalling. darmian anajua
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Herrera anahitaji kuanza ilituwe na tempo kwenye attacking maana bado dhaifu huko ila defence imeanza kusimama.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Herrera anahitaji kuanza ilituwe na tempo kwenye attacking maana bado dhaifu huko ila defence imeanza kusimama.

Naombea siku moja Herera aanze pale kati yeye na Morgan Schneiderlin utakapoona team inavyoflown.
 
Matokeo mazuri...LvG amefanya kile nilichokisema humu, kutumia mfumo wa 4-2-3-1...kuwa na DMs wawili, AM mmoja na wingers wawili walio na uhuru.

Ila kama wanavyosema wadau wa timu wengi, attacking prowess lazima itengenezwe kwa combination ya Mata na Herrera. Januzaj, Fellaini na hata dogo Perreira wawe wanaingia kama subs.

Anyway, naendelea kufurahia maendeleo ya timu..angalau project inaonekana kuwa ya maana...

#GGMU

It was just against a belgian pub side bro..
 
Back
Top Bottom