Matokeo mazuri...LvG amefanya kile nilichokisema humu, kutumia mfumo wa 4-2-3-1...kuwa na DMs wawili, AM mmoja na wingers wawili walio na uhuru.
Ila kama wanavyosema wadau wa timu wengi, attacking prowess lazima itengenezwe kwa combination ya Mata na Herrera. Januzaj, Fellaini na hata dogo Perreira wawe wanaingia kama subs.
Anyway, naendelea kufurahia maendeleo ya timu..angalau project inaonekana kuwa ya maana...