Rooney anaoneka anacheza kwa relax saaana as if namba yake haina mbadala, yaani hajitumi wala hashughuliki, anapoteza mipira ovyo ovyo yaan anarudisha nyuma maendeleo ya club sana kwa mechi hizi mbili msimu huu
Hizo dalili nilishaziona sub atakayofanya sana sana ni Darmian na wakat tunahitaji goli lingine kukill hii gemu
Anyway yeye ndie kocha mamuzi yote kwako