Manchester United (Red Devils) | Special Thread

#Haters tumewazoea na maneno yenu mingi mingi....hiyo ni notification tu kwamba haondoki,juzi si mlikuwa mnatucheka kwamba wachezaji wanatukimbia kina Young,DDG,ADM leo umeshageuza tena sentensi amaaaaa!!!!!.......

Angembakisha ADM ndio ningewaona wajanja, mmembakisha mchezaji gani huyo ana kibihongo .............
 
Angembakisha ADM ndio ningewaona wajanja, mmembakisha mchezaji gani huyo ana kibihongo .............

ADM leo kawa the hero from the Flop.....#haters bana!!!, siku hizi mapenzi hayabembelezwi mtu akizinguwa anakatwa tu.....
 
Kwa hiyo unamshauri Wenger asisajili tena si ndio?

Arsenal huwez hifananisha na man u ki ubora kwa sasa ndio maana mnavyo haha nyinyi ni tofauti na sisi hushangai wachezaji muhimu wazuri kusepa au unataka kuleta unazi. Kwa sasa mtagombea nafasi tu pengine ya NNE lakini si ubingwa nyie sajiri mpaka malaika.
 
Chicharto aomba kuuzwa,adai man wapunguze dau lake aweze kuondoka kwani e12 nikubwa sana...
 
Sijui nn kmeisibu timu yangu wachezaji hawana furaha ndani ya.timu...
 
Rafael n full back mzuri ila majeruhi yameshusha sana kiwango. Halafu rafael siyo mzuri kukava nafasi endapo beki wa katikati wamepotea. Damian Mateo yuko vzr
 

Aisee una kiburi cha kuongea hivi kwa kumfunga chelsea moja bila au ni nini kinakufanya uwe kiburi? Mimi nimekuuliza kwa hiyo unamshauri wenger asisajiri? Jibu ili niihifadho comment yako alafu kabla ya januari nikukumbushe
 
Rafael n full back mzuri ila majeruhi yameshusha sana kiwango. Halafu rafael siyo mzuri kukava nafasi endapo beki wa katikati wamepotea. Damian Mateo yuko vzr

Tunashukuru mchango wake kwa Utd na tunamtakia kila la kheri

Maisha lazima yaendelee
 
Reactions: Nzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…