Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1438230797.256875.jpg
 
Tathmini yangu niliyoiona mechi ya leo:
Tunahitahiji CB ambaye atakuwa anacommand pale nyuma...Mfano goal la pili tulilofungwa Philip Jones careless anashindwa kabisa kuona danger ipo wapi goli la kizembe kweli tumefungwa.

Pili tunahitahi anaother Striker wa kumchallenge Rooney ili kuwe na ushindani naona anabweteka tu..

Van gaal kwanini anang'ang'ania kumchezea Depay no 10 Wakati MATA anaweza sana..ajaribu japo kuswap Depay aende pembeni.

Mwisho naona Van gaal hana imani na Herrera msimu huu sidhani kama atakuwa anaanza first eleven..wakati Herrera ana link vizuri na MATA wakicheza pamoja ..ningependa kuona Herrera anakuwa midfield yetu kumtegemea anotherwise tutastrugle sana pale kati.
 
Back
Top Bottom