Wazee wa 100% pre-season mpo nyuma 0-2 PSG half time sasa hivi.
FT
Man u 0 vs PSG 2
Yeah yapo mengi yakurekebisha..... sana sana ile command backline. Tunahitaji CB...Phil Jones, Blind walikuwa wanapotea..... mbele napo mipira ilikuwa inapotea ovyo....careless pass.Hii mechi ilinikalia kushoto kweli toka mwanzo!!......lakini siyo mbaya imekuwa zoezi zuri sana la kupimana kupitia hii mechi kuna Makosa kibao ya kujifunza .