Muone huyu naye amekuja na lake jipya .....Saizi mnasajili wauza sura nafasi ya 10 itawausu kwa vtto ivi visharobaro
Mummy nakuelewa vizuri sana...........that's good.....
Mwenzio hapa very nyang'anyang'a........
Lol kumbe na wew umo? Tuwafungie safari mamy tusikubalii
Mechi yenu saa ngapi?
Saa 04:00 alfajiri
Duh!siez...ila mwafungwa
Ushindwe na ulegeee hapo hapo.......Duh!siez...ila mwafungwa
Mumy nawe una mashaka????? Umeniudhi?????......Hahahaaaa hata mimi nahisi ila ni kuhisi tuu..
Tunaweza tusipoteze
Ushindwe na ulegeee hapo hapo.......
Mumy nawe una mashaka????? Umeniudhi?????......
Hata sasa na wewe unaliogopa Jambia la OT tena!!!!!!!